Mimba ya dakika 30

Mimba ya dakika 30

Ni sahih mimba kutungwa kwa nusu saa kwa sabubu gamate huingia mara mja kwenye mji wa mimba lakin tendo hilo haliathri mfumo wa mwanamke kwa muda huo kwahyo hapo umeibiwa na kutapika juu kaja kukupa mzigo.....
 
kusoma sio maisha ila unaweza tu kurudi shule au hata kusoma online .sio nakulaumu au nakucheka maana siwezi jua nini kilikufanya usiende secondary
Miss natafuta Uzi umeusoma vizuri lakni? Mi nilikua nataka maelezo ya kisayansi au kibiologia ya kukunusha au kukubali juu ya hilo Bandiko!!! Cc Mshana Jr, Kilanga, mzizi mkavu!!!!
 
Ni sahih mimba kutungwa kwa nusu saa kwa sabubu gamate huingia mara mja kwenye mji wa mimba lakin tendo hilo haliathri mfumo wa mwanamke kwa muda huo kwahyo hapo umeibiwa na kutapika juu kaja kukupa mzigo.....
Ahsante mkuu!!!
 
Hili swali la kitoto sana
Mmmmmh
Hii kweli mwendokasi
 
Stunter kuja huku utoe ushauri wa kibaologia!!??
 
alaf mtoa mada inaonekana ww ndio muhusika wa kutaka kubambikiwa hiyo mimba fake hamna cha rafiki yako wala nini ni ww mwenywe
Kweli kiswahili kigumu mno!!! Bandiko linasemaje? Umetumia vigezo vipi kuithibitisha Kauli yako!!!
 
Mbona ameeleweka wewe unataka maelezo ya nini???.....kwa kifupi ni kuwa huyu dada tayari alikuwa na mimba ya mtu mwingine!
umeona apo ndo anapoleta wasiwasi na yy ndio muhusika ndo mana anauliza zaidi
 
alaf mtoa mada inaonekana ww ndio muhusika wa kutaka kubambikiwa hiyo mimba fake hamna cha rafiki yako wala nini ni ww mwenywe
Dada!!! Hapa lengo langu sio Hitimisho!!!
 
Back
Top Bottom