Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusoma sio maisha ila unaweza tu kurudi shule au hata kusoma online .sio nakulaumu au nakucheka maana siwezi jua nini kilikufanya usiende secondaryKua na elimu sio tija!! Huo upande upo kitaalam zaidi
Miss natafuta Uzi umeusoma vizuri lakni? Mi nilikua nataka maelezo ya kisayansi au kibiologia ya kukunusha au kukubali juu ya hilo Bandiko!!! Cc Mshana Jr, Kilanga, mzizi mkavu!!!!kusoma sio maisha ila unaweza tu kurudi shule au hata kusoma online .sio nakulaumu au nakucheka maana siwezi jua nini kilikufanya usiende secondary
Tuishi nao kwa akiliNdio mama zetu hao kiongozi!!!
Mbona ameeleweka wewe unataka maelezo ya nini???.....kwa kifupi ni kuwa huyu dada tayari alikuwa na mimba ya mtu mwingine!Naomba maelezo yaloyoshiba na ya kitaalam zaidi!!!
Mie nijuavyo mimba ukifikisha week6 ndipo kichefuchefu na kutapika kinapoanzaJamani wataalamu wa mambo achen kuhitimisha bila majibu mujarabu!!!
umeona apo ndo anapoleta wasiwasi na yy ndio muhusika ndo mana anauliza zaidiMbona ameeleweka wewe unataka maelezo ya nini???.....kwa kifupi ni kuwa huyu dada tayari alikuwa na mimba ya mtu mwingine!