mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 427
Wakapime yawezekana Ana malaria, Kwan kama akipima mimba ikaonekana bas atakua muongo mana mimba yaonekana cku 8 had wik 3 hivyo mimba ya masaa haiwez kuonekana kwenye vipimo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biology haifundishwi tena?
biology ilitolewa?Kuna yule waziri alifutaga baadhi ya masomo halafu mengine akayaunganisha...nadhani huyu jamaa na mwenzake ni wahanga wa maamuzi yale!
Hapo bado hujatoa msaada wako wa kitaalam zaid ya kutoa dukuduku lako kwa Waziri !
biology ilitolewa?
huyu jamaa wala hatuelewi tunashangaa nini? anaona yupo sawa yaani achana nae tu ila ningekuwa ticha wake mngekuwa mnadiscuss video yake saa hiviKwa leo nisamehe mkuu...hata kama biology hukufundishwa basi hata google??? duh.
by the way, wazungu wanasema, "If fools didn't go to the market, bad wares wouldn't be sold."
Mwambie mshkaji alee mtoto!!!
heshimu walimu wewe dogoMama sio kwa Ukali Huo!!!
Unajua wakat mwingine unaona kama akina Magufuli wanachokifanya kilistahili kufanywa mapema uko nyuma. Unajiuliza hivi hawa wasomi wetu walisoma kweli au walitengenezesha vyeti. Au kulikuwa na makosa fulan wakat wa malez au wakat wa mimba ilifanyika faul fulan au hizi shule zetu ni majanga au walimu ni wale wanao nunua vyeti.biology haifundishwi tena?
unaweza kukuta huyu mwanafunzi wa chuo halafu.ila mkuu unakumbuka kuna kipindi hapo nyuma watoto walikuwa wanafaulu la saba wasiojua kusoma wala kuandika? sijui siku hizi wamechange?Unajua wakat mwingine unaona kama akina Magufuli wanachokifanya kilistahili kufanywa mapema uko nyuma. Unajiuliza hivi hawa wasomi wetu walisoma kweli au walitengenezesha vyeti. Au kulikuwa na makosa fulan wakat wa malez au wakat wa mimba ilifanyika faul fulan au hizi shule zetu ni majanga au walimu ni wale wanao nunua vyeti.
Inashangaza sana. Uwezo wa ubongo unakuwa mdogo sana. Haijulikan tatizo ni nn