Mimba ya dakika 30

Mimba ya dakika 30

Kwani kabla ya hiyo siku hawakuwahi kufanya hilo tendo?
Ni mara ya kwanza kukutana?
Kama ni wapenzi wa muda mrefu yawezekana ila kama ndo wamekutana siku hiyo anaingizwa choo cha kike.
 
Mbona suala dogo, akapime, ataambiwa mamba iliingia lini na muda gani. Kama una lingine sema.
 
Ya leo kaliii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani kabla ya hiyo siku hawakuwahi kufanya hilo tendo?
Ni mara ya kwanza kukutana?
Kama ni wapenzi wa muda mrefu yawezekana ila kama ndo wamekutana siku hiyo anaingizwa choo cha kike.
Ndio first time ndugu!!! Lakn kamaa aliteleza kwenye Ganda la Ndizi!!!
 
Yaani duh. Elimu ya bongo ni majanga sana. Hivi sisi tunafanyaje au tumelogwa.
 
Yani huyo bidada akili hana kabisa, bora ata angesingizia kaugonjwa tuu sio mimba, haijawahi tokea na wala haitatokea mimba ya dalili za haraka kiasi hicho...
 
Habari zenu wadau!!

Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Mwambie amsaidie mwanaume mwenzie kulea mimba maana naona jamaa alikuwa anafanya palilizi kwa shamba lililooteshwa
 
iyo mimba kwa mwaka huu wa njaa wenye waniita mimba ya mwendokasi au unaweza kusema 4G hapa mimbaaa tu!!!
 
Mimba yake hiyo kubali tu ,mtoto akizaliwa kapime DNA
 
Back
Top Bottom