Huko ni kupatwa kwa tumbo la uzazi!Habari zenu wadau!!
Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Kwa mahesabu makali au machale umebarikiwa mrembo,maana hilo ndio jibu halisi.Hahahhhh mwambie alee mimba ya mwanaume mwenzake
hakuna maelezo zaidi kama uyo demu ana mimba sio ya jamaa yakoNaomba maelezo yaloyoshiba na ya kitaalam zaidi!!!
mwache alee mimba sio yakeKwa mahesabu makali au machale umebarikiwa mrembo,maana hilo ndio jibu halisi.
Lakini atakuwa anakula raha sana,maana mwanamke mwenye mimba ni moto sana.mwache alee mimba sio yake
HahahhhLakini atakuwa anakula raha sana,maana mwanamke mwenye mimba ni moto sana.
Habari zenu wadau!!