Mimba ya dakika 30

Wakapime yawezekana Ana malaria, Kwan kama akipima mimba ikaonekana bas atakua muongo mana mimba yaonekana cku 8 had wik 3 hivyo mimba ya masaa haiwez kuonekana kwenye vipimo
 
umeona apo ndo anapoleta wasiwasi na yy ndio muhusika ndo mana anauliza zaidi
Lengo la kuuliza zaidi sio baya ukizingatia humu kuna watu wa kada tofauti kitaaluma!!!
 
Wakapime yawezekana Ana malaria, Kwan kama akipima mimba ikaonekana bas atakua muongo mana mimba yaonekana cku 8 had wik 3 hivyo mimba ya masaa haiwez kuonekana kwenye vipimo
Ahsante kwa maelezo mujarabu!!!
 
Kuna yule waziri alifutaga baadhi ya masomo halafu mengine akayaunganisha...nadhani huyu jamaa na mwenzake ni wahanga wa maamuzi yale!
Hapo bado hujatoa msaada wako wa kitaalam zaid ya kutoa dukuduku lako kwa Waziri !
 
Hapo bado hujatoa msaada wako wa kitaalam zaid ya kutoa dukuduku lako kwa Waziri !


Kwa leo nisamehe mkuu...hata kama biology hukufundishwa basi hata google??? duh.

by the way, wazungu wanasema, "If fools didn't go to the market, bad wares wouldn't be sold."

Mwambie mshkaji alee mtoto!!!
 
Kwa leo nisamehe mkuu...hata kama biology hukufundishwa basi hata google??? duh.

by the way, wazungu wanasema, "If fools didn't go to the market, bad wares wouldn't be sold."

Mwambie mshkaji alee mtoto!!!
huyu jamaa wala hatuelewi tunashangaa nini? anaona yupo sawa yaani achana nae tu ila ningekuwa ticha wake mngekuwa mnadiscuss video yake saa hivi
 
biology haifundishwi tena?
Unajua wakat mwingine unaona kama akina Magufuli wanachokifanya kilistahili kufanywa mapema uko nyuma. Unajiuliza hivi hawa wasomi wetu walisoma kweli au walitengenezesha vyeti. Au kulikuwa na makosa fulan wakat wa malez au wakat wa mimba ilifanyika faul fulan au hizi shule zetu ni majanga au walimu ni wale wanao nunua vyeti.

Inashangaza sana. Uwezo wa ubongo unakuwa mdogo sana. Haijulikan tatizo ni nn
 
mimba kuonekana iz one week ahead
 
unaweza kukuta huyu mwanafunzi wa chuo halafu.ila mkuu unakumbuka kuna kipindi hapo nyuma watoto walikuwa wanafaulu la saba wasiojua kusoma wala kuandika? sijui siku hizi wamechange?
 
wala hapana haja ya kuwaza, ukweli ni kuwa hiyo siyo mimba na hata kama ni mimba basi si ya jamaa, ila kupata uhakiki kisayansi waende hospital wampime binti watajua ni ujauzito wa miezi mingapi
 
Kweli au si kweli ni sijui maana mimi si mtaalam wa mambo haya. Hata hivyo, sidhani kama ni sahihi kukana moja kwa moja uwezekano wa mimba kuwa ya hiyo rafiki yako. Ukweli ni kwamba kila mtu anayo namna yake ya mwili kutoa mrejesho wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani yake.

Kwa kuwa tunajaribu kuelimishana na kubadilishana uzoefu, nitatoa mfano unaonihusu mimi mwenyewe. Nina make na watoto watatu. Siku mke wangu anaposhika ujauzito kwa mara ya kwanza alilala usingizi mzito mno tofauti na siku nyingine zote. Na kesho yake aliamka na mafua makali sana. Hali hii ilijirudia siku aliposhika ujauzito wa pili na watatu (nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu sana).

Kutokana na hali hii kujirudia consistently, naweza ku-conclude kuwa haikuwa coincidental. Hii ilikuwa namna ya mwili kutoa mrejesho, na mrejesho huo unaweza kutofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja hadi kwa mwingine. Zaidi nawaachia wataalam.
 
Ajiandae kulea mtoto .Hiyo ni mimba ya mwendokasiiiiii!!3000000000km/30minutes. duh huo mwili unafunction vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…