Mimba ya dakika 30

Ukimwi inawezekana lakini sio kwa rapid test
 
Kwani mimba huchukua kiasi gani cha muda kuingia kwa ke?
 
Ukimwi inawezekana lakini sio kwa rapid test
Mkuu hakuna kitu km hicho. Leo utembee na mtu mwenye ngoma halafu ww hauna HIV +. Leo leo uchukue vipimo uambiwe umeathirika.
Akikuambia una HIV huyo ni dr. Feki
Ila sikushangai sbb kila mmoja ana HIV -
Atakuandikia una HIV lkn negative
 
Kwani mimba huchukua kiasi gani cha muda kuingia kwa ke?
Muda kuingia huchukua dk kadhaa mpaka kutungwa.
Na mama hawezi kujua km siku hiyo mimba imeingia ila baada ya wiki km 3 ataanza kuona dalili km vile kutoona siku zake za hedhi, kutapika, kichefu chefu, tumbo kuwa kubwa, n.k
Huyo anataka kumbebesha jamaa mzigo wa mwingine.
Ni hatari sana halafu utasikia huyu anasema nawachukia sana wanaume.
Mwanamke kutembea na wanaume wengi amependa mwenyew
 
iyo mimba kwa mwaka huu wa njaa wenye waniita mimba ya mwendokasi au unaweza kusema 4G hapa mimbaaa tu!!!
Hahahahahha[emoji38] [emoji23] hapa kwel mimbaa tyu..power to the tumboz la uyo mdada...
 
Mweeeh huyo dada kakosea angesubiria hata lisaa moja
 
Jamaa kaamuaje sasa?
Dada sio jambo rahisi kukubali kirahisi!!! Nadhani kutokana na michango ya wadau humu ndani kuhitimisha bila suluhisho tumeona ni vema kesho tukamuone Dr mtaalam wa maswala ya uzazi tupate Scientific proof!!!
 
Okey....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…