feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
Mwambie aachane naye mana huyo msaniiNdio first time ndugu!!! Lakn kamaa aliteleza kwenye Ganda la Ndizi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aachane naye mana huyo msaniiNdio first time ndugu!!! Lakn kamaa aliteleza kwenye Ganda la Ndizi!!!
Ukimwi inawezekana lakini sio kwa rapid testKiufupi huyo mwenzio siyo muaminifu ana mtu nje.
Ni vigumu sana mimba kuingia siku hiyo hiyo na dalili zikaonekana hata km ukienda kupima vipimo haviwezi kuonesha.
Ni sawa na ww utembee na mtu mwenye ukimwi halafu siku hiyo hiyo uende ukapime. Huwezi kupata jibu km umeathirika hata km uende kwa dr. Bingwa gani hawezi kukupa jibu zaid ya kukuambia uje baada ya muda fulani.
Dalili za mimba huanza kuoneka wiki 3 baada ya kushika ujauzito, lkn kwa siku hiyo hiyo.
Mkuu hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Hiyo mimba siyo yako 100% km utaamua kulea basi unalea mimba ya mwanaume mwenzako
Acha ubishi hiyo ni mimba ya jamaa yako, kwani ni mara ya kwanza kumbinua auJamani wataalamu wa mambo achen kuhitimisha bila majibu mujarabu!!!
Mkuu hakuna kitu km hicho. Leo utembee na mtu mwenye ngoma halafu ww hauna HIV +. Leo leo uchukue vipimo uambiwe umeathirika.Ukimwi inawezekana lakini sio kwa rapid test
Muda kuingia huchukua dk kadhaa mpaka kutungwa.Kwani mimba huchukua kiasi gani cha muda kuingia kwa ke?
Hahahahahha[emoji38] [emoji23] hapa kwel mimbaa tyu..power to the tumboz la uyo mdada...iyo mimba kwa mwaka huu wa njaa wenye waniita mimba ya mwendokasi au unaweza kusema 4G hapa mimbaaa tu!!!
Okey....Dada sio jambo rahisi kukubali kirahisi!!! Nadhani kutokana na michango ya wadau humu ndani kuhitimisha bila suluhisho tumeona ni vema kesho tukamuone Dr mtaalam wa maswala ya uzazi tupate Scientific proof!!!