Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Haya ndo ashapata sasa ww unamshauri nn maana hata kama sio c/s unashauriwa miaka zaidi ya miwili kama c/s vile vileMwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...
Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...
Lakn huwez kufanya conclusion kwa scenario moja tuDuh
We jamaa buana 😂
Juzi nilikutana na kesi ya mwanamke mmoja amebeba mimba nyingine miezi 6 baada ya upasuaji na hakuna complication yoyote aliyopata
Mimba ipo vzur tu, yule mtoto mwingine anaendelea vzur tu
Sema ndo hvyo, close monitoring ya Daktari ndo inahitajika zaidi
Acha ubishi dogo mwanamke anaanza booking mimba ikifika G.A ya 12- 16 ambayo sawa na miezi mitatu mpaka minne na ndipo uchunguzi wa awali unapofanyika.We jamaa unatumia busara kwenye afya na reference zipo au nyie ndo madaktar wa google
😄😄😄😄😄😄 Nasikia watu wa rough road ndiyo michezo yaoUnaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.
Aisee.Maana kama ni mshono, mshono unapona ndani ya miezi 3 tu
Vip akianza antenatal na GA ya wiki sita atafukuzwa?Acha ubishi dogo mwanamke anaanza booking mimba ikifika G.A ya 12- 16 ambayo sawa na miezi mitatu mpaka minne na ndipo uchunguzi wa awali unapofanyika.
Na itabidi afanye mahudhurio angalau manne .
H.I.V atapima mara tano , mara mbili akiwa antenatal na mara tatu post natal .Antenatal kwenye miezi mitatu ya mwanzo (12 weeks na atapima tena kwenye G.A ya 32 ambayo sawa na miezi nane) kisha atapima baada ya miezi mitatu baada ya kujifungua, miezi sita na mwaka mmoja na nusu baada ya kujifungua.
Na kwa nn apime miezi mitatu baada ya kujifungua unakuwa unataka kumlinda mtoa huduma, mama au mtotoAcha ubishi dogo mwanamke anaanza booking mimba ikifika G.A ya 12- 16 ambayo sawa na miezi mitatu mpaka minne na ndipo uchunguzi wa awali unapofanyika.
Na itabidi afanye mahudhurio angalau manne .
H.I.V atapima mara tano , mara mbili akiwa antenatal na mara tatu post natal .Antenatal kwenye miezi mitatu ya mwanzo (12 weeks na atapima tena kwenye G.A ya 32 ambayo sawa na miezi nane) kisha atapima baada ya miezi mitatu baada ya kujifungua, miezi sita na mwaka mmoja na nusu baada ya kujifungua.
Na wanapewa ushauri huo kwa sababu kadhaa kama vile kuweka sawa uwiano wa hormones kwa sababu kipindi cha ujauzito kuna physiological changes zinatokea kwa mama mjamzito kama vile uzalishwaji wa hormones sanasana estrogen kwa ajili ya kutengeneza endometrium layer ambayo placenta inaenda kujishkiza .Mwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...
Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...
Na wanapewa ushauri huo kwa sababu kadhaa kama vile kuweka sawa uwiano wa hormones kwa sababu kipindi cha ujauzito kuna physiological changes zinatokea kwa mama mjamzito kama vile uzalishwaji wa hormones sanasana estrogen kwa ajili ya kutengeneza endometrium layer ambayo placenta inaenda kujishkiza .
Pia umuhimu mwingine ni muscle regeneration .
Na pia kumpa mtoto muda mwingi wa kunyonya ili akue vizuri
Naona mmeanza kupambanisha shule ambazo ziko incongruent na mada 🙌🙌😂😂Na wanapewa ushauri huo kwa sababu kadhaa kama vile kuweka sawa uwiano wa hormones kwa sababu kipindi cha ujauzito kuna physiological changes zinatokea kwa mama mjamzito kama vile uzalishwaji wa hormones sanasana estrogen kwa ajili ya kutengeneza endometrium layer ambayo placenta inaenda kujishkiza .
Pia umuhimu mwingine ni muscle regeneration .
Na pia kumpa mtoto muda mwingi wa kunyonya ili akue vizuri.
Mtoto ana risk ya kupata maambukizi kipindi yupo tumboni mwa mama yake, kipindi anazaliwa (during delivery) or during breastfeeding(kipindi cha kunyonya) .Na
Na kwa nn apime miezi mitatu baada ya kujifungua unakuwa unataka kumlinda mtoa huduma, mama au mtoto
Ni zahanat au kituo gan cha afya hapa bongo wanampima mama HIV miezi mitatu baada ya kujifungua au ww mke wako alipimwa had kipind ganMtoto ana risk ya kupata maambukizi kipindi yupo tumboni mwa mama yake, kipindi anazaliwa (during delivery) or during breastfeeding(kipindi cha kunyonya) .
Mtoto aliyezaliwa na mama anayeishi na virusi vya ukimwi na aligundulika mapema ana ukimwi na alikuwa anatumia anteretrovial therapy (ART) vizuri mtoto atakayezaliwa huwa anapewa jina la exposed child, kuna mtoto anazaliwa na mama aliyegundulika ana maambukizi ya virusi vya ukimwi wiki nne kabla hajajifungua au kipindi cha kujifungua au alikuwa hatumiu dawa vizuri licha ya kwamba alikuwa anaishi na vvu ,mtoto atakayezaliwa ataiywa High risk child.
Management za hawa watoto wawili zinatofautiana.
Pia kuna ambao wanapata maambukizi kipindi wananyonyesha.
Kama mpaka hapa umeshindwa kuelewa sina la ziada la kukuelewesha.Ni zahanat au kituo gan cha afya hapa bongo wanampima mama HIV miezi mitatu baada ya kujifungua au ww mke wako alipimwa had kipind gan
Kama mpaka hapa umeshindwa kuelewa sina la ziada la kukuelewesha.
Huenda kichwa chako kimejaa kamasi
Nadhani ungejibu swali ingependeza zaid acha kuongelea Mambo ya tiba kutoka chat gpt mzee hapa hatuongelei nadharia hii ni real practice mzeeKama mpaka hapa umeshindwa kuelewa sina la ziada la kukuelewesha.
Huenda kichwa chako kimejaa kamasi.
Kanisikitisha kwakweli...Unaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.
yani wewe chinga unabishana na madaktari kweli!!?Sawa endelea kuamini hvy hvy
Madaktari wa JF 😂yani wewe chinga unabishana na madaktari kweli!!?
🤣🤣 afadhali wao kuliko wewe chingaMadaktari wa JF 😂