Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Tuacheni tuzae jamani...πππMimba ya nne kwa nini kwanza?
Kuna mashindano ya uzazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuacheni tuzae jamani...πππMimba ya nne kwa nini kwanza?
Kuna mashindano ya uzazi?
Asitoe mimba azae tu.Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme bahati mbaya amepata mimba nyingine.
Swali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?
Naomba ushauri wenu najua hapa kuna madaktari mbalimbali wenge kujua mambo ya afya.
Karibuni kwa mchango.
Mm mtaalam shaur zako, inabidi mtoto wako wa pili uje ujifungue hosp yangu ππ€£π€£ afadhali wao kuliko wewe chinga
Tumewaacha, ila tunataka kujua tu.Tuacheni tuzae jamani...πππ
Inatokea tuu...mara paap...Tumewaacha, ila tunataka kujua tu.
Watu wanaopenda kuzaa sana wanapenda kufanya hivyo kwa sababu gani?
Yani kama sungura unazaa bila kupanga?Inatokea tuu...mara paap...
Zaidi ya sungura...Yani kama sungura unazaa bila kupanga?
Sasa zile style wanawake wengi wanapenda au wanalazimishwa tu hawana jinsi?Zaidi ya sungura...
Style zipi?Acheni kujifanya innocents kwenye hili la kuzaa kwa wanawake..mume na mke mnatakiwa muwe kitu kimoja..hakikisha mume unamkumbusha mkeo na mke unamkumbusha mumeo...la sivyo wkt wa tendo akili zinaruka...Sasa zile style wanawake wengi wanapenda au wanalazimishwa tu hawana jinsi?
we Ms*ng* nini?Nadhani ungejibu swali ingependeza zaid acha kuongelea Mambo ya tiba kutoka chat gpt mzee hapa hatuongelei nadharia hii ni real practice mzee
Mini najifanya innocent kwenye hili la kuzaa kwa wanawake kivipi?Style zipi?Acheni kujifanya innocents kwenye hili la kuzaa kwa wanawake..mume na mke mnatakiwa muwe kitu kimoja..hakikisha mume unamkumbusha mkeo na mke unamkumbusha mumeo...la sivyo wkt wa tendo akili zinaruka...
Nimekujumlisha kwa sababu umetaka kujua...Mini najifanya innocent kwenye hili la kuzaa kwa wanawake kivipi?
Unanijumlishaje mimi kwenye uzazi wa wanawake nisiowajua?
Kosa hili la kimantiki linaitwa logical non sequitur.Nimekujumlisha kwa sababu umetaka kujua...
πππ Hoja haijibiwi na matusi leta taarifa clear sio mnaongopewa na google we uliona wap utaratibu wa kupima HIV mama amejifungua miezi mitatu iliyopita achana na chat gpt mzee tafuta fact itakusaidia kuepuka matango pori ππππwe Ms*ng* nini?
embu andika wewe kama unajua
Tuambie wewe H.I.V wanapimwa mara ngapi?πππ Hoja haijibiwi na matusi leta taarifa clear sio mnaongopewa na google we uliona wap utaratibu wa kupima HIV mama amejifungua miezi mitatu iliyopita achana na chat gpt mzee tafuta fact itakusaidia kuepuka matango pori ππππ
Ni first visit na ya pili ni kuanzia wiki ya 32 nyingine japo huwa sio mara zote ni siku akija labour hizo za baada ni kwa mtoto kama mama aligundulika na HIV wakati wa ujauzito hizo ndo practice za bongo achana na chat gpt mzeeTuambie wewe H.I.V wanapimwa mara ngapi?
Kama kitu hujui funga tu bakuli lako.
Tuambie wewe H.I.V wanapimwa mara ngapi?
Kama kitu hujui funga tu bakuli lako.
Umeona sasa ulivyo fala.Ni first visit na ya pili ni kuanzia wiki ya 32 nyingine japo huwa sio mara zote ni siku akija labour hizo za baada ni kwa mtoto kama mama aligundulika na HIV wakati wa ujauzito hizo ndo practice za bongo achana na chat gpt mzee
Sijaongelea known seropositive nimeongelea aliyebainika during antenatal period uwe unaelewaUmeona sasa ulivyo fala.
Kama mama alishagundulika ni seropositive anapima tena maambukizi ili iweje?
Kama hana lazima apimwe mara hizo zote tano (3 post delivery) kipindi chote cha breastfeeding ambapo kimakadirio ni mwaka na nusu mpaka miaka miwili ,na huo ndio muongozo na ukipita RCH clinics zote utaratibu ndio huo.