Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme bahati mbaya amepata mimba nyingine.

Swali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?

Naomba ushauri wenu najua hapa kuna madaktari mbalimbali wenge kujua mambo ya afya.

Karibuni kwa mchango.
Asitoe mimba azae tu.
 
Sasa zile style wanawake wengi wanapenda au wanalazimishwa tu hawana jinsi?
Style zipi?Acheni kujifanya innocents kwenye hili la kuzaa kwa wanawake..mume na mke mnatakiwa muwe kitu kimoja..hakikisha mume unamkumbusha mkeo na mke unamkumbusha mumeo...la sivyo wkt wa tendo akili zinaruka...
 
Mini najifanya innocent kwenye hili la kuzaa kwa wanawake kivipi?

Unanijumlishaje mimi kwenye uzazi wa wanawake nisiowajua?
 
Nimekujumlisha kwa sababu umetaka kujua...
Kosa hili la kimantiki linaitwa logical non sequitur.

Naweza kutaka kujua mwizi anaibaje ili niweze kuzuia wizi.

Usifikiri kila mtu anayetaka kujua mwizi anafanyaje anapenda wizi.

Your conclusion is illogical.
 
we Ms*ng* nini?

embu andika wewe kama unajua
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hoja haijibiwi na matusi leta taarifa clear sio mnaongopewa na google we uliona wap utaratibu wa kupima HIV mama amejifungua miezi mitatu iliyopita achana na chat gpt mzee tafuta fact itakusaidia kuepuka matango pori πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Tuambie wewe H.I.V wanapimwa mara ngapi?

Kama kitu hujui funga tu bakuli lako.
 
Ni first visit na ya pili ni kuanzia wiki ya 32 nyingine japo huwa sio mara zote ni siku akija labour hizo za baada ni kwa mtoto kama mama aligundulika na HIV wakati wa ujauzito hizo ndo practice za bongo achana na chat gpt mzee

Umeona sasa ulivyo fala.

Kama mama alishagundulika ni seropositive anapima tena maambukizi ili iweje?

Kama hana lazima apimwe mara hizo zote tano (3 post delivery) kipindi chote cha breastfeeding ambapo kimakadirio ni mwaka na nusu mpaka miaka miwili ,na huo ndio muongozo na ukipita RCH clinics zote utaratibu ndio huo.
 
Sijaongelea known seropositive nimeongelea aliyebainika during antenatal period uwe unaelewa
Madhara ya kuleta watu kwenye afya kwa kigezo cha D nne ndo haya sasa
 
Back
Top Bottom