Huyu si mwanaume bali ni mtoto wa kiume mwenye homoni za kike....maana mwanamume kama mwanamume hawezi akasumbua akili yake katika mambo ya kipuuzi kama haya...kwani ana mambo mengi sana ya kufanya..
Guys acheni kuonea watu banaa. Jana tu that stupid pro nerd alipozaa nilihoji mkanivamia kichizi. Eti Aunt celeb. Sasa watu wanauliza kuhusu Zari. Nae a pro of sorts. U kweli Pumzi MI naamini huyo Sepenga na Zari wali kuwa stunts tu never lovers wa huyo mpuuzi anaejiita platinumz . Sijui nini maana yake
data kuna,watu hapa huwa wanajishaua sana lakini walivyoona hii post wamekuja mbio...ila ni bindamu hawa
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi
Samahanini kwa usumbufu
Imefikia magotini...oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Kwani wewe ni lini mara ya mwisho umemuona Zari? Nazungumzia Zari mwenyewe na sio picha za instagram ambazo zinaweza kuwa za miezi kadhaa iliyopita!!Sasa huu mchezo wa kuvimbisha vitumbo na viporo vya broiler then wanatufake ni mbAmi umenza lini???
anapunguza majunguafu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block
Sasa mimba hiyo ina miezi mingapi mpaka uione?
He he he watu wanajiandaa kumpaka kama alidanganya ana mimba kumbe sio
Jamani mbona mnaharaka hivyo mpeni miezi mitatu hivi maana mimba nyingne hazichomoki tumboni wengine wanaongezeka hipsi au maziwa so kuweni wapole tuone le project