Mimba ya Zari

Mimba ya Zari

Huyu si mwanaume bali ni mtoto wa kiume mwenye homoni za kike....maana mwanamume kama mwanamume hawezi akasumbua akili yake katika mambo ya kipuuzi kama haya...kwani ana mambo mengi sana ya kufanya..

asante kwa maneno yko ila kilichoniuzunisha ujanisaidia kujibu hili
 
Guys acheni kuonea watu banaa. Jana tu that stupid pro nerd alipozaa nilihoji mkanivamia kichizi. Eti Aunt celeb. Sasa watu wanauliza kuhusu Zari. Nae a pro of sorts. U kweli Pumzi MI naamini huyo Sepenga na Zari wali kuwa stunts tu never lovers wa huyo mpuuzi anaejiita platinumz . Sijui nini maana yake

Global pub wamerusha na kudhibitisha Aunt hajazaaa kile kido eti cha movie.

Wengine sie tunahesabu tangu mwezi aliposafiri kiutaliii mwaka jana tunasubiri kuona
 
Global pub wamerusha na kudhibitisha Aunt hajazaaa kile kido eti cha movie.

Wengine sie tunahesabu tangu mwezi aliposafiri kiutaliii mwaka jana tunasubiri kuona

ngoja tuone mwisho wao
 
Sasa huu mchezo wa kuvimbisha vitumbo na viporo vya broiler then wanatufake ni mbAmi umenza lini???
 
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?

Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi

Samahanini kwa usumbufu

duh! mkuu unajua maana ya TBT?
 
Sasa mimba hiyo ina miezi mingapi mpaka uione?
 
He he he watu wanajiandaa kumpaka kama alidanganya ana mimba kumbe sio
Jamani mbona mnaharaka hivyo mpeni miezi mitatu hivi maana mimba nyingne hazichomoki tumboni wengine wanaongezeka hipsi au maziwa so kuweni wapole tuone le project
 
Umbea kazi jamanii!!khaa ngoja nisubirie Jr dimondoo!!mie
 
Ha ha ha Mimba sio matako kwamba kila mtu anakuwa nayo...
 
Kwani wewe ni lini mara ya mwisho umemuona Zari? Nazungumzia Zari mwenyewe na sio picha za instagram ambazo zinaweza kuwa za miezi kadhaa iliyopita!!

fatilia hilo swala
 
Sasa mimba hiyo ina miezi mingapi mpaka uione?

mkuu umesahau diamond kipind flan alikua anaipa sana ile mimba promo??? mara akapost nanukuu katumbo kale kanaanza kumuharibia mtu mavaz..sa kama mwez wa kwanza tumbo lilianza kuonekana vp leo mwez wa tatu kwenda wa 4?
 
He he he watu wanajiandaa kumpaka kama alidanganya ana mimba kumbe sio
Jamani mbona mnaharaka hivyo mpeni miezi mitatu hivi maana mimba nyingne hazichomoki tumboni wengine wanaongezeka hipsi au maziwa so kuweni wapole tuone le project

walishaanza kusema imeanza kuonekana hata bwana wake diamond alithibitsha hilo
 
Back
Top Bottom