Mimba ya Zari

Kwani wewe ni lini mara ya mwisho umemuona Zari? Nazungumzia Zari mwenyewe na sio picha za instagram ambazo zinaweza kuwa za miezi kadhaa iliyopita!!
fatilia hilo swala
mkuu umesahau diamond kipind flan alikua anaipa sana ile mimba promo??? mara akapost nanukuu katumbo kale kanaanza kumuharibia mtu mavaz..sa kama mwez wa kwanza tumbo lilianza kuonekana vp leo mwez wa tatu kwenda wa 4?
walishaanza kusema imeanza kuonekana hata bwana wake diamond alithibitsha hilo
Hujajibu swali la msingi hapo kwenye RED sana sana naona reference yako ni kama ile picha ya juzi ambayo imeibua huu mjadala but more interesting, the caption yake ni TBT...
 
hapo hakuna mimba na unaeza kuta jamaaa hajawai kua na mahusiano na zari na wala hajaachana na wema hahahaha wamejua kucheza na mind zetu muda pekee utaongea.
 
Kweli wakenya hawakosei kutusema na iq zetu. Mnamdharaulisha kaka yenu domo
 
Attachments

  • 1426310264762.jpg
    57.8 KB · Views: 508
hapo hakuna mimba na unaeza kuta jamaaa hajawai kua na mahusiano na zari na wala hajaachana na wema hahahaha wamejua kucheza na mind zetu muda pekee utaongea.
Duh! We unamzidi hadi Tomaso wa kwenye bible!
 
hahaha tusubiri mkuu
Haya mkuu tusubiri ila kwa hayo mengine mimi nishaamini kwa maana imeandikwa, ukisikia Diamond anafanya project, cha kufanya ni kutafuta manyoya tu kwani hapo kiumbe kinakuwa kishaliwa!
 
TBT ,- Truth b told.
TBT ,- Throw back thursday.

.... So what! She definetely knows what we are eager out of her photos. Sasa mambo ya throw back anashare na nan.

Atupie picha ya tumbo,,
rambo nin??
btw i never blessed that r'ship.
 
Hujajibu swali la msingi hapo kwenye RED sana sana naona reference yako ni kama ile picha ya juzi ambayo imeibua huu mjadala but more interesting, the caption yake ni TBT...

NasDaz mi sikuelewi unataka kusema picha anazoweka weka huyu dem insta tangu mwezi huu umeanza ni TBT cyo? punguza mahaba ndugu yngu
 
Hujajibu swali la msingi hapo kwenye RED sana sana naona reference yako ni kama ile picha ya juzi ambayo imeibua huu mjadala but more interesting, the caption yake ni TBT...

na Wewe mara ya mwisho ulimuona lini ana hyo mimba?
 
hapo hakuna mimba na unaeza kuta jamaaa hajawai kua na mahusiano na zari na wala hajaachana na wema hahahaha wamejua kucheza na mind zetu muda pekee utaongea.

hata mimi nahisi haya ni maigizo tu
 
Hivi mkuu unajua maana ya neno TBT kwa kiswahili.maana hili neno wajinga wameshindwa kulielewa na ndio maana wanasema hana mimba

IFRS unataka kusema huyu dem tangu mwezi wa pili leo watatu unaenda wa nne huyu dem insta anatupia TBT???
 
TBT ,- Truth b told.
TBT ,- Throw back thursday.

.... So what! She definetely knows what we are eager out of her photos. Sasa mambo ya throw back anashare na nan.

Atupie picha ya tumbo,,
rambo nin??
btw i never blessed that r'ship.

Well said
 
NasDaz mi sikuelewi unataka kusema picha anazoweka weka huyu dem insta tangu mwezi huu umeanza ni TBT cyo? punguza mahaba ndugu yngu
Kwanza pics nyingi ambazo anaweka instagram cku hizi hazimuoneshi tumbo lake kwa uwazi... picha ambazo zipo full nyingi ni zile za 12/03/2015 ambazo zinaendana na hiyo caption ya TBT na karibu zote amezi-lable TBT! Don' forget mambo ya wana-Instagram walipokuja na ile kampeni yao ya Bring Back Our Body... ndipo Zari akaanza kuweka hizo photos!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…