Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni lini mara ya mwisho umemuona Zari? Nazungumzia Zari mwenyewe na sio picha za instagram ambazo zinaweza kuwa za miezi kadhaa iliyopita!!
fatilia hilo swala
mkuu umesahau diamond kipind flan alikua anaipa sana ile mimba promo??? mara akapost nanukuu katumbo kale kanaanza kumuharibia mtu mavaz..sa kama mwez wa kwanza tumbo lilianza kuonekana vp leo mwez wa tatu kwenda wa 4?
Hujajibu swali la msingi hapo kwenye RED sana sana naona reference yako ni kama ile picha ya juzi ambayo imeibua huu mjadala but more interesting, the caption yake ni TBT...walishaanza kusema imeanza kuonekana hata bwana wake diamond alithibitsha hilo
picha mchek insta broh
Duh! We unamzidi hadi Tomaso wa kwenye bible!hapo hakuna mimba na unaeza kuta jamaaa hajawai kua na mahusiano na zari na wala hajaachana na wema hahahaha wamejua kucheza na mind zetu muda pekee utaongea.
Duh! We unamzidi hadi Tomaso wa kwenye bible!
Haya mkuu tusubiri ila kwa hayo mengine mimi nishaamini kwa maana imeandikwa, ukisikia Diamond anafanya project, cha kufanya ni kutafuta manyoya tu kwani hapo kiumbe kinakuwa kishaliwa!hahaha tusubiri mkuu
Hujajibu swali la msingi hapo kwenye RED sana sana naona reference yako ni kama ile picha ya juzi ambayo imeibua huu mjadala but more interesting, the caption yake ni TBT...
TBT ,- Truth b told.
TBT ,- Throw back thursday.
.... So what! She definetely knows what we are eager out of her photos. Sasa mambo ya throw back anashare na nan.
Atupie picha ya tumbo,,
rambo nin??
btw i never blessed that r'ship.
una maana gani king'asti?
Tabata au Thursday Throws BACK??????? cjaelewa
Kwanza pics nyingi ambazo anaweka instagram cku hizi hazimuoneshi tumbo lake kwa uwazi... picha ambazo zipo full nyingi ni zile za 12/03/2015 ambazo zinaendana na hiyo caption ya TBT na karibu zote amezi-lable TBT! Don' forget mambo ya wana-Instagram walipokuja na ile kampeni yao ya Bring Back Our Body... ndipo Zari akaanza kuweka hizo photos!NasDaz mi sikuelewi unataka kusema picha anazoweka weka huyu dem insta tangu mwezi huu umeanza ni TBT cyo? punguza mahaba ndugu yngu