Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

ww utakuwa unakinyaa hata sikushangai,kuna mtu naye huku nilipo hapendi pia kuona uwo ukijani tena ndio ukute umeotokea sehemu chafuchafu atalala Mika wiki nzima
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpe pole
 
Najua ipo coz hata mwenyewe nnayo but nauliza kama inafahamika kitaalamu kama moss phobia
ndiyo boss ila kitaalamu infahamika kama
"Botanophobia is the extreme, unwarranted and often irrational fear of plants."
 
Kuna video fulani hivi niliiona sehemu kuna kiumbe fulani hivi wa baharini sijui ndio nyangumi anaibuka kutokea baharini halafu anarudi tena ndani. Sasa jinsi anavyoibuka na ule muonekano wake na ngozi yake ya ajabu ilivyoumbwa mtu mwenye Trypophobia nadhani itamuacha hoi.
 

Mkuu hata Mimi Nina hyo kasumba, yaani nabadili njia kabisa au kama itanilazimu kupita basi Huwa naangalia pembeni au naweka umakini kutazama mbele.

Na kibaya zaidi inaota sehemu za mazingira ya vyoo hasa vyoo vya nje. Kwa huko ulipo Hilo hiyo ni kawaida kutokana na Hali ya kijiografia.
 
Hahaaa mnyama Gani huyo
 
Kabisa kaka Bora jua likiwaka inapungua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…