Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Labda jambo baya lilikupata kwenye sehemu yenye hiyo mimea. Labda uliona mdudu wa kutisha chini yake.
Yeah kila kitu kinasababu yake but iyo sababu may be inaniathiri unconsciously. Bila mwenyewe kujua
 
Hali kama hiyo pia hunikuta mimi pale ninapopita kwenye eneo lenye mkusanyiko wa takataka zenye unyevu,huwa najisikia vibaya sana,nawwza kupata mafua na hata home ndogo wakati mwingine,kingine ni aina fulani ya sisimizi wadogo wekundu,hawa niliwaona wakishambulia mzoga wa mbwa,tokea hapo nikiwaona ile kumbukumbu inanijia na kujihisi vibaya sana.
Aisee wengi hii hali inatukuta
 
Mimea inazuia Sana mmomonyoko wa udongo inahifadhi kwenye udongo kwa mda mrefu Haina shida Wala itakua ni v2 vingine vinakusumbua, hujawahi kuvuta bangi?
 
Oo my boi,mbona uoto mzuri sana huo.....tuliokulia mtoni kama vyura ni so good kuutazama....kwani ukiuona how do you feel?
Na mimi nakushangaa wewe mwalimu wangu alafu uzuri wake zaidi umeishi kwenye mazingira yenye majimaji na unaifahamu moss plants na umuhimu wake kwenye ecosystem mpaka unahitaji picha kweli?
By the seemed like you're familiar with the plant but the problem was on it's botanic name 😊😊
Moss plant sitakusahau kwasababu ndio tuliopewa kwenye mtihani wa mwisho wa biaology wa practical NECTA Form Four
 
Na mimi nakushangaa wewe mwalimu wangu alafu uzuri wake zaidi umeishi kwenye mazingira yenye majimaji na unaifahamu moss plants na umuhimu wake kwenye ecosystem mpaka unahitaji picha kweli?
Ndiyo,ni kweli nilihitaji picha,je,ulitaka nijifanye nafahamu coz am a teacher?
 
ww utakuwa unakinyaa hata sikushangai,kuna mtu naye huku nilipo hapendi pia kuona uwo ukijani tena ndio ukute umeotokea sehemu chafuchafu atalala Mika wiki nzima
 
Back
Top Bottom