Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Sijui hii hali inanipata Mimi peke yangu au hata watu wengine!!

Yaani nikiona Moss Plants (mimea midogo ya kijani) ambayo huota sehemu zenye maji maji huwa nakosa raha kabisa, na najiskia vibaya. Hali hii imenianza tangu niko shule ya msingi lakini hadi leo bado ninayo.

Yaani sehemu ikiwa na hizi Moss Plants naweza nisipite kabisa, ni bora nipite njia nyengine, siwezi hata kuziangalia au kuzipitia kwa karibu.
Sasa wiki iloyopita nimekuja Mbeya na kutokana na hali ya huku ya mvua nyingi, aise kila sehemu zipo... Dah napata shida kweli.
Mkuu umepimamimba?
 
Nadhani watu karibia wote hawapendi ila wengi hawajui kwa jina lake ndio maana wajaelewa sehemu zinazoota zina sifa ya kuwa nyepenyepe inayotia kinyaa zikokomaa Sana zinajenga utando utando wa kijani mpaka Kama ukuta inaoza inareta kinya
Sana kiongozi
 
pole nakuelewa me sina hiyo nina heliophobia ya kuogopa jua au nikiwa kwenye jua nahisi ngozi inaburn kabisa kumbe ni psychological tu..
Yeap binadamu tumeumbwa tofauti sana
 
Back
Top Bottom