Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Pole sana. Wengi hawatakuelewa lakini mimi najua. Hii hali inaitwa Trypophobia. Mimi nikiona kitu cha namna hii ndiyo najisikia vibaya
200px-Nelumbo_Nucifera_fruit_-_botanic_garden_Adelaide.jpg

Daah umeniharibia jioni yangu [emoji19]
 
Nadhani watu karibia wote hawapendi ila wengi hawajui kwa jina lake ndio maana wajaelewa sehemu zinazoota zina sifa ya kuwa nyepenyepe inayotia kinyaa zikokomaa Sana zinajenga utando utando wa kijani mpaka Kama ukuta inaoza inareta kinya
 
Back
Top Bottom