Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Umeanza lini kutibu watu To yeye ?Yeah,Hauna shida na mtu huo ujani.....pole sana.Nipo mbeya hapa,je unaweza pita Kwa home nikutibie? Somehow Yaan🧐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza lini kutibu watu To yeye ?Yeah,Hauna shida na mtu huo ujani.....pole sana.Nipo mbeya hapa,je unaweza pita Kwa home nikutibie? Somehow Yaan🧐
😳Ooo kumbe nawe mjanja....sasa Subiri😉
Haya katibiwe sasa, to yeye mgonjwa wako huyo.Naona naona
Et upo mbeya eeh😳Ooo kumbe nawe mjanja....sasa Subiri😉
Nakaaga pale, nakuonagaga kila siku.🤣Mi kazi yangu Kila siku ni kuibadili mada kuwa maada afu Yabisi
🤣🤣🤣Ndio namuuliza kama Yuko mbeyaHaya katibiwe sasa, to yeye mgonjwa wako huyo.
Sio mbea huyo ni mcheshi.🤣🤣🤣Ndio namuuliza kama Yuko mbeya
🤣🤣Yeah,ivo Yaan nizoee....ukianzisha mada ukitaka thread itembee nialike niingize mautumbo yangu....utapenda🤗Nakaaga pale, nakuonagaga kila siku.
Sasa unabembeleza sasa.Et upo mbeya eeh
Ndio nmejua sasa 😂 kumbe unatibu hadi phobia na ukichaa na hausemi, sijapenda🤣🤣🤣We,hivi hujui kuwa niliacha ualimu saivi mi ni doctor?
Yes... Ila sio ya mimea ioNa wewe ulikuwa nayo hii disorder?
Yeah,mbeya mkuu...karibu sana🤣🤣🤣Ndio namuuliza kama Yuko mbeya
Kwa kweli nilijua hii thread haitafikisha hata page mbili lakini naona kungwi umeingia🤣🤣🤣🤣Yeah,ivo Yaan nizoee....ukianzisha mada ukitaka thread itembee nialike niingize mautumbo yangu....utapenda🤗
Mutumbo hata samaki anayo na analiwa, we yamwage hapa.🤣🤣Yeah,ivo Yaan nizoee....ukianzisha mada ukitaka thread itembee nialike niingize mautumbo yangu....utapenda🤗
Oops,sor boss.Natibu mkuu.Karibu sanaNdio nmejua sasa 😂 kumbe unatibu hadi phobia na ukichaa na hausemi, sijapenda
Ahaa sawa dadaYes... Ila sio ya mimea io
Lakini sahivi nipo safi hata nikiona kitu kinafanania siangalii naacha mapema kabisa
🤣🤣🤣🤣🤭Mutumbo hata samaki anayo na analiwa, we yamwage hapa.