Mimea ina toa sauti ikiumia, ikikosa maji au ikiwa na stress, sauti yake ipo katika ultrasonic

Prof Phraoh AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
1,269
Reaction score
2,311
‎Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine waliikatisha maji mingine wakaikata kidogo ili kuifanya ipate msongo ( au maumivu ).
‎
‎Mimea iliyokuwa katika hali ya kawaida ilikuwa kimya. Lakini mimea iliyokuwa na stress kama kukosa maji au kukatwa ilianza kutoa sauti za ultrasonic. Hizi ni sauti zenye masafa ya juu sana kiasi kwamba sikio la binadamu haliwezi kuzisikia. Lakini kwa kutumia vifaa maalum, watafiti waliweza kurekodi kile kilichokuwa kinatokea.
‎
‎Kwa mfano, mmea wa Tomato uliokosa maji unaweza kutoa “klik” au “pop” ndogo kadhaa kwa saa. Mmea uliokatwa unaweza kutoa sauti nyingi zaidi, wakati mwingine hata makumi ya sauti ndani ya saa moja. Kwa masikio yetu dunia inaonekana kimya, lakini kwa vifaa vya kisayansi, mimea iliyoumia inaonekana kama ina “piga kelele”.
‎
‎sauti hizi zinaweza kusikika hadi umbali wa mita kadhaa. Hiyo inaibua swali kuwa je viumbe wengine wanaweza kuzisikia?
‎
‎Baadhi ya wanasayansi wanafikiri inawezekana baadhi ya wadudu na wanyama wanaosikia ultrasonic kama popo au baadhi ya nondo wanaweza kutumia taarifa hii kujua hali ya mimea. Inawezekana kabisa mdudu anaweza “kusikia” kwamba mmea una stress na kuamua kama ni mahali pazuri kutaga mayai au la.
‎
‎Ugunduzi huu pia una implications kubwa sana katika kilimo. Ikiwa teknolojia itaendelea, wakulima wanaweza kutumia sensa kusikiliza mimea yao na kujua mapema kabisa kama mimea inaanza kukosa maji au inaathirika na kitu fulani, kabla hata macho ya binadamu hayajaona tatizo.
‎
‎dunia ya mimea ambayo tulidhani ni tulivu kabisa ina mawasiliano yake ya siri katika masafa ambayo masikio yetu hayawezi kufikia. Na kadri sayansi inavyoendelea kuchunguza, inaonekana polepole tunaanza kusikia sauti ambazo kwa mamilioni ya miaka zilikuwa zikitokea kimya kabisa bila sisi kujua.
‎
 
VIUMBE VYOTE VINAKUTUKUZA NI WEWE MESIAH

viumbe vyote hai na visivyo hai vinatoa sauti..na vinasikia
Hata mawe yanaongea...na kusikia

kuta za nyumba

Ardhi inaongea na kusikia

Wanyama pia wanaongea nena na kusikia

Ukiisemesha ardhi inakusikia

Viumbe hata visivyohai na hai naajengi na vitu..vinaweka ushahidi wa matendo yako..na kuna siku vitakushuhudia...vitaongea kukushuhidia kutoa ushahidi wa matendo Yako mema au mabaya

Hata damu yako inaongea ...damu ya ndugu yako inanililia..kila kitu kiwe kidogo au kikubwa kiqe hai au kiumbe kisicho hai...vyote vinaongea vinasikia vina macho ya kiroho ..na vinashuhidia vinapeleka hesabu ya matendo yako na kudai hukumu..

Pia vinasifi Mungu na kuabudu..

Mfano nyumba ikiwa na uwepo wa Mungu,na vitu vyote vilivyo mahali hapo vinakuwa na hali ya utukufu uwepo qa Mungu.

Nyumba ikiwa na mafarakano na nhuvu za giza na hata vitu vyote vilivyo happ vinakuwa continated na negative energy.

Hata vitu tunavyovaa .

MITI mimea inaweza kuimba nyombo za kumsifu Mungu na kumtukuza ,hata sisi tusipoimba na kumsifu Mungu tukinyamaza MAWE YATAONGEA na kumsifu Mungu.

Lk 19:40
Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.

Hesabu 22:28 BHN
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”

Mwa 4:11
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako

Mwanzo 4:10 NEN
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
 
Hata sisimizi wanatuona sisi binadamu kama majitu makubwa ya kutisha katika ulimwengu wao.
Ila anakupanda vizuri na kukutembelea anaweza kuingiaa mpaka sikioni na kuanza kutembeza ulimi wake, sisimizi muda mwingine hana adabu kabisa mara kakuingia kwenye chupi haya sasa sisimizi anafuata nini kwenye chupi anatembea juu ya matako, ile mitembeo ya sisimizi kwenye ngozi inaboa sana sababu ni km anaifanyaje ngozi yaan km mbu kakudandia au sijui nisemeje
 
Hata UPEPO ,MILIMA na BAHARI vina masikio na vinatii.

Mathayo 8:23-34
Y. Watu wakashangaa, wakasema, “Ni mtu wa namna gani huyu? Hata pepo na bahari vinamtii!”

Lk 17:6
Bwana akasema, Kama mngekuwa na imani kiasi cha chembe ya haradali, mngeuambia mkuyu huu, Ng’oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.

viumbe vyote hai na visivyo hai vinasikia na vinaona na vina kinywa vinanena na vina weza kutii.
 
Unakaa mkao gani mpaka sisimizi anakuingia kwenye chupi kiongozi?? 😹
 
Wewe mlokole acha kuvuruga mada ya kisayansi na upupu wa zebedayo
 
Back
Top Bottom