Mimea ina toa sauti ikiumia, ikikosa maji au ikiwa na stress, sauti yake ipo katika ultrasonic

Lamomy Uzi wote mmeuharibu kmmk 🙌😁
Nyie ndio mmegeuka kuwa sauti za mimea !!

Haya kati yenu hapo mmea wa nyanya ni nani ??
 
Mimea na binadamu sote viumbe hai tunavyochangia kuvuta oksijeni ili kuishi, sasa shida iko wapi hapo? 😹😹😹

Mimi muegea natafuta boga 🤣😹😹
 
Back
Top Bottom