Mimea ina toa sauti ikiumia, ikikosa maji au ikiwa na stress, sauti yake ipo katika ultrasonic

Roho imeniuma sana hapo kwenye kukatwa,ninavyopenda mimea yangu huwa sitaki mtu akate lile ua kumbe niko sawa
My lovely sis 🥰😘😘
Ulikuwa wapi jamani 🥹
Nilitaka nichukue maamuzi magumu ya kwenda vituo vyote vya polisi kukutafuta..!!

Usinifanyie hivyo tena nitakufa mimi 😥
 
Nilitaka nijue wanipendao kwa dhati nikawapata ila wewe udugu wangu mmmh umetulia tuliiii hukuogopa labda nilipitiwa na upepo wa kisulisuli trh mbili na kenda!
 
Mweh.!! Hujui tu nilikupigia mpk simu ile ya kipindi kile. Pm yangu ina tatizo kila nikitafuta convo zetu sizioni na nilikua na kimeo kimoja na mods..!! 🥹😥

Nikianzisha convo mpya inagoma pm ulifunga sis. Nilimuuliza mzabzab naye jukwaani hayupo, kaka G naye kapotea.

Mi ningefanyaje?
Tar 29 najua hukuwepo ulijifungia nakufahamu wewe muoga. Utakuwa ulijaza divai zako za kutosha ndani..!!
 
Bana mi ndo mdogo ako ninayekupenda humu usisikilize sauti ya shetani..!! 😘

Kwanza njoo nikuwow nimekumiss, hujawa bonge kweli? 😹
 
My lovely sis 🥰😘😘
Ulikuwa wapi jamani 🥹
Nilitaka nichukue maamuzi magumu ya kwenda vituo vyote vya polisi kukutafuta..!!

Usinifanyie hivyo tena nitakufa mimi 😥
a
Bana mi ndo mdogo ako ninayekupenda humu usisikilize sauti ya shetani..!! 😘

Kwanza njoo nikuwow nimekumiss, hujawa bonge kweli? 😹
watu wa jf kumbe mnajuna hadi huko nje kawaida
 
Usiseme unanipenda unakosea sana,sema hivi TUNAPENDANA.....
Niko na kamwili kazuri tu kilo 74
Mwah 😘
Mwili mzuri kabisa huo..!!

Nimekumiss acha tu!
Nna mengi ya kukusimulia ulivyoondoka nilinyanyasika mimi.. na sis Pridah naye kapotea basi wananisimanga kweli kina ERoni 😹😹

Bora umerudi umchape huyo mzee..!!
 
We nakuchapa na spana za uhakika tu hakuna namna. Binti mdogo huwezi kusumbua wazee mtaani.

Huyo Joannah alifungiwa, haiwezekani mtu miezi sita haonekani popote, tumetafuta hadi baharini haonekani, kuna lijamaa lilimfungia, ila yote namuachia mungu 😅😅
 
Mweh.!! Hujui tu nilikupigia mpk simu ile ya kipindi kile. Pm yangu ina tatizo kila nikitafuta convo zetu sizioni na nilikua na kimeo kimoja na mods..!! 🥹😥

Nikianzisha convo mpya inagoma pm ulifunga sis. Nilimuuliza mzabzab naye jukwaani hayupo, kaka G naye kapotea.

Mi ningefanyaje?
Tar 29 najua hukuwepo ulijifungia nakufahamu wewe muoga. Utakuwa ulijaza divai zako za kutosha ndani..!!
G yupo,
Mzabzab sina taarifa zake ukute tarehe 29 ilimkuta kwenye kinena
Shoga yangu sikuwa na nguvu hata
maji sikunywa kilichotukuta huku kwetu ni kama Beirut ya sasa
 
We nakuchapa na spana za uhakika tu hakuna namna. Binti mdogo huwezi kusumbua wazee mtaani.

Huyo Joannah alifungiwa, haiwezekani mtu miezi sita haonekani popote, tumetafuta hadi baharini haonekani, kuna lijamaa lilimfungia, ila yote namuachia mungu 😅😅
Nifungiwe na nani na uzee huu labda nifungiwe Kilwa road...haya mambo yanaongeleka mzee mwenzangu ila sijapenda kumtesa mdogo wangu Lamomy badala umpetipeti
 
😹😹😹 Hamna sis Joha hamna wa kumfungia unamsingizia tu..!!
 
G yupo,
Mzabzab sina taarifa zake ukute tarehe 29 ilimkuta kwenye kinena
Shoga yangu sikuwa na nguvu hata
maji sikunywa kilichotukuta huku kwetu ni kama Beirut ya sasa
Dah.! Ile siku ni mbaya kuwahi kutokea.
Tunashukuru upo salama, mi nilikoswa na shaba. Kukosa mizimu ya kwetu ya kikinga ingekuwa niagieni 😥🥹

Kaka G kumbe yupo? Sijamuona humu, mzabzab jamani tunaomba awe mzima tu!!
 
Nifungiwe na nani na uzee huu labda nifungiwe Kilwa road...haya mambo yanaongeleka mzee mwenzangu ila sijapenda kumtesa mdogo wangu Lamomy badala umpetipeti
Anatoa ushauri eti nigawe KEYPAPAA kweli jamani?? 😥🥹

Hajui kuna mimba za utotoni zinaua 🤣😹😹
 
Back
Top Bottom