Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
hahahh Lamomy uliwai kua sisimizi au unawasingiziaHata sisimizi wanatuona sisi binadamu kama majitu makubwa ya kutisha katika ulimwengu wao.
utafiti unaonesha mimea inatoa sauti katika ultrasonic sound, sauti ambayo masikio ya binadamu haiwezi kusikia...Mm nikiona mtu anakata miti hai huwa naskia maumivu
Ila anakupanda vizuri na kukutembelea anaweza kuingiaa mpaka sikioni na kuanza kutembeza ulimi wake, sisimizi muda mwingine hana adabu kabisa mara kakuingia kwenye chupi haya sasa sisimizi anafuata nini kwenye chupi anatembea juu ya matako, ile mitembeo ya sisimizi kwenye ngozi inaboa sana sababu ni km anaifanyaje ngozi yaan km mbu kakudandia au sijui nisemejeHata sisimizi wanatuona sisi binadamu kama majitu makubwa ya kutisha katika ulimwengu wao.
Hata UPEPO ,MILIMA na BAHARI vina masikio na vinatii.VIUMBE VYOTE VINAKUTUKUZA NI WEWE MESIAH
viumbe vyote hai na visivyo hai vinatoa sauti..na vinasikia
Hata mawe yanaongea...na kusikia
kuta za nyumba
Ardhi inaongea na kusikia
Wanyama pia wanaongea nena na kusikia
Ukiisemesha ardhi inakusikia
Viumbe hata visivyohai na hai naajengi na vitu..vinaweka ushahidi wa matendo yako..na kuna siku vitakushuhudia...vitaongea kukushuhidia kutoa ushahidi wa matendo Yako mema au mabaya
Hata damu yako inaongea ...damu ya ndugu yako inanililia..kila kitu kiwe kidogo au kikubwa kiqe hai au kiumbe kisicho hai...vyote vinaongea vinasikia vina macho ya kiroho ..na vinashuhidia vinapeleka hesabu ya matendo yako na kudai hukumu..
Pia vinasifi Mungu na kuabudu..
Mfano nyumba ikiwa na uwepo wa Mungu,na vitu vyote vilivyo mahali hapo vinakuwa na hali ya utukufu uwepo qa Mungu.
Nyumba ikiwa na mafarakano na nhuvu za giza na hata vitu vyote vilivyo happ vinakuwa continated na negative energy.
Hata vitu tunavyovaa .
MITI mimea inaweza kuimba nyombo za kumsifu Mungu na kumtukuza ,hata sisi tusipoimba na kumsifu Mungu tukinyamaza MAWE YATAONGEA na kumsifu Mungu.
Lk 19:40
Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.
Hesabu 22:28 BHN
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Mwa 4:11
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako
Mwanzo 4:10 NEN
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Hata mrembo wa kichaga lazima amuite yesuuu, dullah kipara akiwa anampa haki yake!
Unakaa mkao gani mpaka sisimizi anakuingia kwenye chupi kiongozi?? 😹Ila anakupanda vizuri na kukutembelea anaweza kuingiaa mpaka sikioni na kuanza kutembeza ulimi wake, sisimizi muda mwingine hana adabu kabisa mara kakuingia kwenye chupi haya sasa sisimizi anafuata nini kwenye chupi anatembea juu ya matako, ile mitembeo ya sisimizi kwenye ngozi inaboa sana sababu ni km anaifanyaje ngozi yaan km mbu kakudandia au sijui nisemeje
Mkao ule unaoupenda sana utashangaa tu sisimizi kashafika eneo la tukioUnakaa mkao gani mpaka sisimizi anakuingia kwenye chupi kiongozi?? 😹
VIUMBE VYOTE VINAKUTUKUZA NI WEWE MESIAH
viumbe vyote hai na visivyo hai vinatoa sauti..na vinasikia
Hata mawe yanaongea...na kusikia
kuta za nyumba
Ardhi inaongea na kusikia
Wanyama pia wanaongea nena na kusikia
Ukiisemesha ardhi inakusikia
Viumbe hata visivyohai na hai naajengi na vitu..vinaweka ushahidi wa matendo yako..na kuna siku vitakushuhudia...vitaongea kukushuhidia kutoa ushahidi wa matendo Yako mema au mabaya
Hata damu yako inaongea ...damu ya ndugu yako inanililia..kila kitu kiwe kidogo au kikubwa kiqe hai au kiumbe kisicho hai...vyote vinaongea vinasikia vina macho ya kiroho ..na vinashuhidia vinapeleka hesabu ya matendo yako na kudai hukumu..
Pia vinasifi Mungu na kuabudu..
Mfano nyumba ikiwa na uwepo wa Mungu,na vitu vyote vilivyo mahali hapo vinakuwa na hali ya utukufu uwepo qa Mungu.
Nyumba ikiwa na mafarakano na nhuvu za giza na hata vitu vyote vilivyo happ vinakuwa continated na negative energy.
Hata vitu tunavyovaa .
MITI mimea inaweza kuimba nyombo za kumsifu Mungu na kumtukuza ,hata sisi tusipoimba na kumsifu Mungu tukinyamaza MAWE YATAONGEA na kumsifu Mungu.
Lk 19:40
Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.
Hesabu 22:28 BHN
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Mwa 4:11
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako
Mwanzo 4:10 NEN
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Wewe mlokole acha kuvuruga mada ya kisayansi na upupu wa zebedayoHata UPEPO ,MILIMA na BAHARI vina masikio na vinatii.
Mathayo 8:23-34
Y. Watu wakashangaa, wakasema, “Ni mtu wa namna gani huyu? Hata pepo na bahari vinamtii!”
Lk 17:6
Bwana akasema, Kama mngekuwa na imani kiasi cha chembe ya haradali, mngeuambia mkuyu huu, Ng’oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.
viumbe vyote hai na visivyo hai vinasikia na vinaona na vina kinywa vinanena na vina weza kutii.