My lovely sis π₯°ππRoho imeniuma sana hapo kwenye kukatwa,ninavyopenda mimea yangu huwa sitaki mtu akate lile ua kumbe niko sawa
Nilitaka nijue wanipendao kwa dhati nikawapata ila wewe udugu wangu mmmh umetulia tuliiii hukuogopa labda nilipitiwa na upepo wa kisulisuli trh mbili na kenda!My lovely sis π₯°ππ
Ulikuwa wapi jamani π₯Ή
Nilitaka nichukue maamuzi magumu ya kwenda vituo vyote vya polisi kukutafuta..!!
Usinifanyie hivyo tena nitakufa mimi π₯
Mweh.!! Hujui tu nilikupigia mpk simu ile ya kipindi kile. Pm yangu ina tatizo kila nikitafuta convo zetu sizioni na nilikua na kimeo kimoja na mods..!! π₯Ήπ₯Nilitaka nijue wanipendao kwa dhati nikawapata ila wewe udugu wangu mmmh umetulia tuliiii hukuogopa labda nilipitiwa na upepo wa kisulisuli trh mbili na kenda!
Bana mi ndo mdogo ako ninayekupenda humu usisikilize sauti ya shetani..!! πNilitaka nijue wanipendao kwa dhati nikawapata ila wewe udugu wangu mmmh umetulia tuliiii hukuogopa labda nilipitiwa na upepo wa kisulisuli trh mbili na kenda!
aMy lovely sis π₯°ππ
Ulikuwa wapi jamani π₯Ή
Nilitaka nichukue maamuzi magumu ya kwenda vituo vyote vya polisi kukutafuta..!!
Usinifanyie hivyo tena nitakufa mimi π₯
watu wa jf kumbe mnajuna hadi huko nje kawaidaBana mi ndo mdogo ako ninayekupenda humu usisikilize sauti ya shetani..!! π
Kwanza njoo nikuwow nimekumiss, hujawa bonge kweli? πΉ
Usiseme unanipenda unakosea sana,sema hivi TUNAPENDANA.....Bana mi ndo mdogo ako ninayekupenda humu usisikilize sauti ya shetani..!! π
Kwanza njoo nikuwow nimekumiss, hujawa bonge kweli? πΉ
Ndio Mafwele njoo ututeke πΉa
watu wa jf kumbe mnajuna hadi huko nje kawaida
siwezi kuwateka bila sababu maalumNdio Mafwele njoo ututeke πΉ
Mwah πUsiseme unanipenda unakosea sana,sema hivi TUNAPENDANA.....
Niko na kamwili kazuri tu kilo 74
Hata ukiwa nayo jeuri hiyo unayo? πΉsiwezi kuwateka bila sababu maalum
We nakuchapa na spana za uhakika tu hakuna namna. Binti mdogo huwezi kusumbua wazee mtaani.
Analeta blah blah π€£Wewe mlokole acha kuvuruga mada ya kisayansi na upupu wa zebedayo
Analeta blah blah π€£Wewe mlokole acha kuvuruga mada ya kisayansi na upupu wa zebedayo
G yupo,Mweh.!! Hujui tu nilikupigia mpk simu ile ya kipindi kile. Pm yangu ina tatizo kila nikitafuta convo zetu sizioni na nilikua na kimeo kimoja na mods..!! π₯Ήπ₯
Nikianzisha convo mpya inagoma pm ulifunga sis. Nilimuuliza mzabzab naye jukwaani hayupo, kaka G naye kapotea.
Mi ningefanyaje?
Tar 29 najua hukuwepo ulijifungia nakufahamu wewe muoga. Utakuwa ulijaza divai zako za kutosha ndani..!!
Nifungiwe na nani na uzee huu labda nifungiwe Kilwa road...haya mambo yanaongeleka mzee mwenzangu ila sijapenda kumtesa mdogo wangu Lamomy badala umpetipetiWe nakuchapa na spana za uhakika tu hakuna namna. Binti mdogo huwezi kusumbua wazee mtaani.
Huyo Joannah alifungiwa, haiwezekani mtu miezi sita haonekani popote, tumetafuta hadi baharini haonekani, kuna lijamaa lilimfungia, ila yote namuachia mungu π π
π€£π€£π€£π€£kwa hiyo yeye ACP?Ndio Mafwele njoo ututeke πΉ
πΉπΉπΉ Hamna sis Joha hamna wa kumfungia unamsingizia tu..!!We nakuchapa na spana za uhakika tu hakuna namna. Binti mdogo huwezi kusumbua wazee mtaani.
Huyo Joannah alifungiwa, haiwezekani mtu miezi sita haonekani popote, tumetafuta hadi baharini haonekani, kuna lijamaa lilimfungia, ila yote namuachia mungu π π
Dah.! Ile siku ni mbaya kuwahi kutokea.G yupo,
Mzabzab sina taarifa zake ukute tarehe 29 ilimkuta kwenye kinena
Shoga yangu sikuwa na nguvu hata
maji sikunywa kilichotukuta huku kwetu ni kama Beirut ya sasa
Anatoa ushauri eti nigawe KEYPAPAA kweli jamani?? π₯π₯ΉNifungiwe na nani na uzee huu labda nifungiwe Kilwa road...haya mambo yanaongeleka mzee mwenzangu ila sijapenda kumtesa mdogo wangu Lamomy badala umpetipeti