πΉπΉ Eehh ndio.!!π€£π€£π€£π€£kwa hiyo yeye ACP?
πππ Kanikera ila nikaona nikaushe tuWewe mlokole acha kuvuruga mada ya kisayansi na upupu wa zebedayo
Ua Gani mkuu unalolizungumzia hapa !? π€£Roho imeniuma sana hapo kwenye kukatwa,ninavyopenda mimea yangu huwa sitaki mtu akate lile ua kumbe niko sawa
Sawa sawaWanawake ni maua
Mimea na binadamu sote viumbe hai tunavyochangia kuvuta oksijeni ili kuishi, sasa shida iko wapi hapo? πΉπΉπΉLamomy Uzi wote mmeuharibu kmmk ππ
Nyie ndio mmegeuka kuwa sauti za mimea !!
Haya kati yenu hapo mmea wa nyanya ni nani ??