Kutibu maradhi ya ngozi(upele,mapunye)
Kama unahitaji kutibu maradhi ya ngozi mfano
upele,mabaranga,mapunye n.k katika mwili wako
basi kuna njia mbili za kufanya;
1.Utachukua jani la mualovera kisha utalikata juu
nchani kisha utatumia ule utomvu wake unaotoka "
"kupakaa sehemu zenye maradhi hayo ya
ngozi,utafanya hivyo asubuhi na jioni kwa muda wa
siku saba mpaka 10 inshaallah maradhi hayo
yatakwisha.
2.Utachukua jani la alovera kisha utalianika katika
jua mpaka likauke kisha utalisaga ili upate unga
wake.Kisha unga huo utachanganya katika mafuta ya
nazi kisha mafuta hayo utatumia kupakaa katika
sehemu yenye maradhi ya ngozi.Fanya hivyo
asubuhi na jioni mpaka poale maradhi hayo
yatakapotoweka.
Kutibu kidonda cha kansa(kidonda
ndugu)
Kama unahitaji kutibu tatizo la kidonda ndugu au
kidonda cha kansa basi utachukua jani la alovera
kisha utalianika kwenye jua mpaka likauke kisha
utalisaga upate unga wake kasha unga huo utatumia
kuweka katika kidonda hicho asubuhi na jioni.
Fanya
hivyo kwa muda wa siku saba mpaka 14 inshaallah
kidonda hicho kitapona kabisa."
BRAZA CHOGO leo dada Tumwesige senior
Kalibuni JIJINI WHATSAPP ππ½ππ½