Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Maisha ni kuchagua mkuu! Nawe tumeuona uchaguzi wako, uko vizuri
 
Safi sana.
 
Work-life balance ni ya muhumi sana, kutenga muda kuwa na wapendwa wako ni jambo zuri sana na la kibaraka, ni vyema kuwa na muda wa kufurahi na wanafamilia inapunguza stress kazini na kuongeza ufanisi, sio unakua mtu wa kazi kazi na viporo unabeba unaenda kufanyia nyumbani yani unatengeza umbali sana na wanafamilia hata hawakufurahi
 
Daaah huyu jamaa anaratiba ya ovyo sana ,,Hana hata muda wa kufanya mazoezi,,muda wa kwenda kwenye mkahawa,,bila shada atapata pressure sio mda mrefu

Daaah huyu jamaa anaratiba ya ovyo sana ,,Hana hata muda wa kufanya mazoezi,,muda wa kwenda kwenye mkahawa,,bila shada atapata pressure sio mda mrefu
Tupe ratiba yako mkuu tujifunze
 
Mkuu tafuta hela uachane na kufanya kazi za housegirl. Kuna kitu inaitwa 'division of labour'. Mbaba mzima unafanya kazi za ma-house girl! Wao wakale wapi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…