Mnaishi Dar? Maanake nasikia Dar shida ya usafiri kutoka saa kumi alfajiri kurudi sita usiku.. Mimi huwa nawaogesha but mara moja moja. Wakati mwingine watoto huwa wanagoma kuogeshwa na mama wanamtaka baba. So nachip in. Mke huwa anarudi mapema zaidi. Saa tisa au kumi huwa yupo home.
Kwanini kila siku urudi sa 11 usipitie hata Bar mara mojamoja uongeze akili hadi angalau saa tatu hiviRATIBA YA ASUBUHI
- Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
- Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
- Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
- Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
- Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
- Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.
RATIBA YA JIONI
- Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
- Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
- Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
- Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
utaratibu wako wa kucare watoto na muda unaorudi nyumbani vina fungua code, pia hushabikii mpira hii inatoa picha unakazi sekta ya afyaKwann mkuu?
Kwanza hongera kwa kuwa karibu na familia,na kuweza kujenga upendo na ushirikiano na mkeo katika kuhudumia watoto.5.6 year almost Six years, four years na 2years
Vizuri sana unatengeneza bond na watoto wako wasiojielewa watakukebehi kumuogeshs mtoto wako sio kazi ya housegirl5.6 year almost Six years, four years na 2years
ana kazi yenye heshima ktk jamii hivyo basi haitaji kwenda bar wala vijiweni kuboost self esteem pia jamaa ni introvert kinywaji ananywea nyumbani alafu ni mtu anayependa kufanya jambo moja kwa moyo wote hapend kujaribu kitu kingine ndo maana hujaona biashara wala mchepuko kwenye daily routine yakeKwanini kila siku urudi sa 11 usipitie hata Bar mara mojamoja uongeze akili hadi angalau saa tatu hivi
Huyu asije kusumbua huko baadae kwa kuanza kufanya vitu alotakiwa kuvifanya ujananiana kazi yenye heshima ktk jamii hivyo basi haitaji kwenda bar wala vijiweni kuboost self esteem pia jamaa ni introvert kinywaji ananywea nyumbani alafu ni mtu anayependa kufanya jambo moja kwa moyo wote hapend kujaribu kitu kingine ndo maana hujaona biashara wala mchepuko kwenye daily routine yake
Kwamba wote wako shule?Huna tofauti na hao watoto
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa CCM, ninaahidi nikioa nitakuwa na ratiba inayoshahibiana na hii yako. Nitatumia muda mwingi na familia kadiri iwezekanavyo. Ee Mwenyezi Mungu nisaidie.RATIBA YA ASUBUHI
- Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
- Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
- Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
- Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
- Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
- Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.
RATIBA YA JIONI
- Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
- Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
- Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
- Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Ushauri wa kipumbavu zaidi tangu baada ya tukio la 17/03/2021Utanenepa na kuwa mzembe.Anza kukaa vijiwe vya kahawa upate umbea wa mtaani.
Uliosomwa na kushitua hadi mishipa ya makalio na mjinga wewe.Ushauri wa kipumbavu zaidi tangu baada ya tukio la 17/03/2021