Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

Hawa vijana nimewaona siku nyingi. Wakati kuna Yahoo, Dar Hotwire, Hi 5 na MSN messenger wao walikuwa kwenye mashamba ya karanga hawajui hata waingie kwenye kiuno Cha nani
Basi Bibi Sasa nimekutetea na wewe umeanza kuwananga watarudi tena oooh .

Maana vijana wa leo wakianza kukushambulia hapa hautawezana nao Wana maneno makali alafu yanauma Bibi wasamehe usijinishane nao Wala kuwananga maana watakuvamia na Mimi sitaki wakushushue bibi
 
Amen. Yeye mwamba ana watu, ana connection, ana access, ana hela, nifanye nini kapuku Mimi zaidi ya kumwachia Mungu?
Unamwachiaje Mungu wewe, pambania haki yako. Ufalme au Mamlaka huchukuliwa na wenye nguvu. Onyesha strength yako Mungu ameshakupa akili na uwezo wa kupambana na mazingira
 
Ajuza alichezea ujana wake ndio maana anahangaika sasa. Atulie kwenye wheel chair.
Mimi sio MTU wa kukaa kwa wheelchair, asubuhi natembea kutoka kwangu Mikocheni A, Migombani Street hadi sanamu ya Askari, Samora na kurudi. Nina maisha mazuri kuliko ninavyoweza kueleza. Ujana wangu niliutumia vyama. Nakukaribisha inbox uulize maswali, uone na picha, videos, na wewe uje uone shamba kubwa la SAMAKI, mabanda makubwa ya kuku na maghorofa ya ng'ombe wa maziwa.
 
Ajuza alichezea ujana wake ndio maana anahangaika sasa. Atulie kwenye wheel chair.

Nafikiri sio lazima kuchangia kila mada lakini muhimu zaidi EPUKA KUTUMIA LUGHA ZA KUUDHI/MATUSI...
Mtu aliyechezea maisha anaweza kunyoosha mwandiko kama huyu? Mimi simjui huyu bibi (kwangu atakuwa ni mama) ila yupo vizuri
Ngoja tuone namna ya kumsaidia, asije kuishia kudaiwa kodi na TRA
 
Msidhulumu wazee please!!!
Wazee wa nchi hii ni mafisadi na wazulumati ile mbaya,siyo wa kuonea huruma hata chembe.

Yaani wewe kama unaishi maisha haya seems ufisadi uko kwenye damu. Na miaka 80 ni bora ukamrudia Mungu na hizo mishe waachie wajukuu sasa.
 
Mtu aliyechezea maisha anaweza kunyoosha mwandiko kama huyu. Wewe Serengeti boy, don't judge a book by its cover!!! Mimi simjui huyu bibi (kwangu atakuwa ni mama) ila yupo vizuri
Ngoja tuone namna ya kumsaidia, asije kuishia kudaiwa kodi na TRA
Serengeti boy niko vizuri natunzwa ila unamteteaje mtu ambaye umekiri humjui na kusema yuko vizuri.
 
kama unayoyasema ni kweli humsingizii mtu basi njoo inbox...

ataisoma namba kuanzia kazini kwake, nyumbani kwake na hata mtaani kwake..
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...🤔

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kimekukuta kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…