Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

Hapo uliposema unamuachia Mungu ndo unaenda kwa mganga
 
Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe.

Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of interest hisa zake ziwe kwa jina langu.

Basi, michakato ikaanza, kampuni ikawa registered Brela, na biashara ikaanza, kampuni inapiga dili hela zinaingia.

Makubaliano yetu yalikuwa mwisho wa mwaka anipe 5,000,000/. Mwisho wa mwaka wetu ni mwezi November.

November ikapita, sina kitu, piga simu jamaa hapokei, naenda nyumbani kwake anajificha, ofisini naambiwa yuko meeting.

Mwisho wa siku nikamwambia Kaka, naona hauko tayari kunilipa, basi furahia matunda ya dhuluma yako.

Akaanza kunipiga mikwala kwamba hata kwenye ma shareholders simjui hata mmoja, wala sijawahi kuhudhuria vikao vya bodi ya wakurugenzi na wala sijui vinafanyika wapi.

Basi nikamwambia namwachia Mungu, mi uchawi siuwezi. Yaani unafanya biashara kwa jina langu na hela hutaki kunipa!!!!

Basi kaa nayo.
Akaniambia nenda mahakamani kama unaweza utapata haki yako.

Sasa Bibi, Kuna siku hiyo kampuni itafanya issue ngumu na pengine tayari, itakuwa na kesi ya uhujumu uchumi na wewe kama mmiliki utasombwa!

Bibi kawai haraka Brella ujitenge nayo, achana na 5m, unaweza ozea jela!
 
Mimi sio MTU wa kukaa kwa wheelchair, asubuhi natembea kutoka kwangu Mikocheni A, Migombani Street hadi sanamu ya Askari, Samora na kurudi. Nina maisha mazuri kuliko ninavyoweza kueleza. Ujana wangu niliutumia vyama. Nakukaribisha inbox uulize maswali, uone na picha, videos, na wewe uje uone shamba kubwa la SAMAKI, mabanda makubwa ya kuku na maghorofa ya ng'ombe wa maziwa.
Bibi usijioneshe kuwa na hela hapa Kuna vijana watakufuata wanataka kuwa vibenteni
Ogopa Sana Bibi mtu kibenteni sio najua ni msamiati mgumu huwezi kuuelewa Ila usiwaambie mafanikio yako bibi
 
Mkuu kufanya ubia na mtanzania kwa 99.9% ni kama suicide mission, lazima ulie tu, mimi nimepoteza zaidi ya 150m kwa kuamini watu na kufanya partnership nao usimuamini mtanzania kabisa hasa hao wasomi.
Nongo huwa tunaviziana ukilegea imekula kwako!
 
Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe.

Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of interest hisa zake ziwe kwa jina langu.

Basi, michakato ikaanza, kampuni ikawa registered Brela, na biashara ikaanza, kampuni inapiga dili hela zinaingia.

Makubaliano yetu yalikuwa mwisho wa mwaka anipe 5,000,000/. Mwisho wa mwaka wetu ni mwezi November.

November ikapita, sina kitu, piga simu jamaa hapokei, naenda nyumbani kwake anajificha, ofisini naambiwa yuko meeting.

Mwisho wa siku nikamwambia Kaka, naona hauko tayari kunilipa, basi furahia matunda ya dhuluma yako.

Akaanza kunipiga mikwala kwamba hata kwenye ma shareholders simjui hata mmoja, wala sijawahi kuhudhuria vikao vya bodi ya wakurugenzi na wala sijui vinafanyika wapi.

Basi nikamwambia namwachia Mungu, mi uchawi siuwezi. Yaani unafanya biashara kwa jina langu na hela hutaki kunipa!!!!

Basi kaa nayo.
Akaniambia nenda mahakamani kama unaweza utapata haki yako.
Noma sana, jamaa wanatapeli hadi vikongwe
 
Deal limebuma, Poleeeee bibi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya fraud ndo yako hivyo.Nyie wote ni wezi.
 
Mimi sio MTU wa kukaa kwa wheelchair, asubuhi natembea kutoka kwangu Mikocheni A, Migombani Street hadi sanamu ya Askari, Samora na kurudi. Nina maisha mazuri kuliko ninavyoweza kueleza. Ujana wangu niliutumia vyama. Nakukaribisha inbox uulize maswali, uone na picha, videos, na wewe uje uone shamba kubwa la SAMAKI, mabanda makubwa ya kuku na maghorofa ya ng'ombe wa maziwa.
Samaki gani unafuga bibi?
Hongera pia
 
Amen. Yeye mwamba ana watu, ana connection, ana access, ana hela, nifanye nini kapuku Mimi zaidi ya kumwachia Mungu?
Unaweza kumwchia Mungu Ila km wanatumia jina lako unaweza ingia matatani.
Mfano hiyo kampuni ikikopa hela au ikadhulumu mtu,Basi wewe nawe utahusishwa kwani jina lako lipo.
Fuatilia kwa makini ,ukihakikisha kuwa liko basi utafute namna ya kuliondoa huko.
 
Back
Top Bottom