Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Aug 30, 2018 #61 Ambiele Kiviele said: Siku zilizopita na zijazo..... Mungu anipe uhai wa kutosha ila haitapendeza mungu akinipa uhai wa kutosha mi pekee angu pasipo ww kupewa Mungu atupe uhai wa kutosha ili atakapo anza kunibarik uone maajabu yake.... MO11 Shemeji Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hayo maajabu sitoyaona kama hautonifanyia maajabu pia.
Ambiele Kiviele said: Siku zilizopita na zijazo..... Mungu anipe uhai wa kutosha ila haitapendeza mungu akinipa uhai wa kutosha mi pekee angu pasipo ww kupewa Mungu atupe uhai wa kutosha ili atakapo anza kunibarik uone maajabu yake.... MO11 Shemeji Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hayo maajabu sitoyaona kama hautonifanyia maajabu pia.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Aug 30, 2018 #62 Hahhaha sawa lakini hitaji la NAHUJA auntie espy said: Auntie nami si nina uhitaji kama wake jamani. Click to expand...
Hahhaha sawa lakini hitaji la NAHUJA auntie espy said: Auntie nami si nina uhitaji kama wake jamani. Click to expand...
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Aug 31, 2018 #63 espy said: Kwani ni lini uliwahi kuwa katika hali nzuri ya kiuchuimi? Click to expand... π³π³ππππ
espy said: Kwani ni lini uliwahi kuwa katika hali nzuri ya kiuchuimi? Click to expand... π³π³ππππ
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 7, 2018 #64 NAHUJA said: Sasa wee si umeshapachoka huko Dar hasa Pwani huko Msata kwa Mzee Mshana Jr. hahahahaahah. Siku ukiwa tayari kuja Mwanza niambie tu mpendwa utanikuta, tena mtu mwenyewe mie ni wa viwanja nitakuzungusha kila kona Click to expand... [emoji15][emoji1787][emoji23][emoji1540]
NAHUJA said: Sasa wee si umeshapachoka huko Dar hasa Pwani huko Msata kwa Mzee Mshana Jr. hahahahaahah. Siku ukiwa tayari kuja Mwanza niambie tu mpendwa utanikuta, tena mtu mwenyewe mie ni wa viwanja nitakuzungusha kila kona Click to expand... [emoji15][emoji1787][emoji23][emoji1540]
masara JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,738 Reaction score 2,282 Nov 26, 2018 #65 Bado tunaruhusiwa kuchangia au mda umeisha.. maana leo ndio naona huu uzi