Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hayo maajabu sitoyaona kama hautonifanyia maajabu pia.Siku zilizopita na zijazo.....
Mungu anipe uhai wa kutosha ila haitapendeza mungu akinipa uhai wa kutosha mi pekee angu pasipo ww kupewa
Mungu atupe uhai wa kutosha ili atakapo anza kunibarik uone maajabu yake....
MO11 Shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app