Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Siku zilizopita na zijazo.....

Mungu anipe uhai wa kutosha ila haitapendeza mungu akinipa uhai wa kutosha mi pekee angu pasipo ww kupewa

Mungu atupe uhai wa kutosha ili atakapo anza kunibarik uone maajabu yake....

MO11 Shemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maajabu sitoyaona kama hautonifanyia maajabu pia.
 
Sasa wee si umeshapachoka huko Dar hasa Pwani huko Msata kwa Mzee Mshana Jr. hahahahaahah.
Siku ukiwa tayari kuja Mwanza niambie tu mpendwa utanikuta, tena mtu mwenyewe mie ni wa viwanja nitakuzungusha kila kona
[emoji15][emoji1787][emoji23][emoji1540]
 
Bado tunaruhusiwa kuchangia au mda umeisha.. maana leo ndio naona huu uzi
 
Back
Top Bottom