Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Nchemba katuletea matatizo hadi mtu wetu kadata kisa mikosi akaanza kunywa mkojo kuondoa mikosi😂😂
 
Hii sayansi hii ya kutoka Red Planet
 
Jamaa wewe ni mtu wa hovyo sana.
 
Ulifunga na kusali kwa shetani na amekujibu na masharti yake hayo ya kujipaka kinyesi.
a
 
Nnya ya asubuhi nayo ukijipaka asubuhi inaondoa harara
 
Nawa mikono kwa mkojo wako uondoe nuksi ulizopata kupitia mikono ya watu wengine, life is really, usifanye mchezo mchezo mchezo, adui yako halali kukuangamiza nawe usilale kujihifadhi mahali salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa naosha pia mikono, mikono ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana.
Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko.
Tuichunge mikono yetu
 
Ina maana hayo maono yako yanafanya kazi kwa mtu yoyote?
Sio nifunge na kuomba ili na mie nionyeshwe what to do?
 
Kuna Njemba hapa katika Daladala ( nimekaa nae Siti Moja ) Uso wake unanuka Mkojo sijui nae Kahadaika na huu Ushirikina tulioshauriwa....!!!!
 
Ebbbooo
 
Kuna Njemba hapa katika Daladala ( nimekaa nae Siti Moja ) Uso wake unanuka Mkojo sijui nae Kahadaika na huu Ushirikina tulioshauriwa....!!!!
Umeanzaje kumnusa mwanaume mwenzako usoni?
 
Hata hivyo pamoja na kwamba hapa Tunamchana Jamaa ( Mleta Mada ) ila kwa ninavyowajua Watanzania tulivyo Wanafiki na huu Uzi sasa uko Ukurasa wa Tano nina uhakika 85% tunaochangia hapa Leo tumeosha Minyago ( Misura ) yetu na Kojo la Alfajiri ( Asubuhi ) ila hapa tunazuga tu huku tukisubiria Mrejesho wa Kojo kama Mambo yetu Kimaisha yatabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…