Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nchemba katuletea matatizo hadi mtu wetu kadata kisa mikosi akaanza kunywa mkojo kuondoa mikosi😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sayansi hii ya kutoka Red PlanetSwalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.
Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.
Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.
Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.
Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
aSwalama ndugu zanguni?

Swalama ndugu zanguni?

Sina hararaNnya ya asubuhi nayo ukijipaka asubuhi inaondoa harara
Ni kweli kabisaJamaa wewe ni mtu wa hovyo sana.
SureHii sayansi hii ya kutoka Red Planet
Nanawa uso kwa maji safi na sabuni baada ya nusu saaUkinawa unatoka na kojo lako ad kazin au unanawa
Wapi nimesema nimepata malaya? Huyo mke huwezi kumpata bila kumvutia kwanzaMungu hawezi kukufanya uwe malaya ungesema umepata mke apo sawa
TrueKila kitu ni Imani
Kavurugwa huyo achana naeKuna watu wapumbavu sana rudi kusoma wapi kamtaja Allah
Huwa naosha pia mikono, mikono ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana.Nawa mikono kwa mkojo wako uondoe nuksi ulizopata kupitia mikono ya watu wengine, life is really, usifanye mchezo mchezo mchezo, adui yako halali kukuangamiza nawe usilale kujihifadhi mahali salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hayo maono yako yanafanya kazi kwa mtu yoyote?Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.
Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.
Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.
Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.
Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
EbbboooSwalama ndugu zanguni?

Umeanzaje kumnusa mwanaume mwenzako usoni?Kuna Njemba hapa katika Daladala ( nimekaa nae Siti Moja ) Uso wake unanuka Mkojo sijui nae Kahadaika na huu Ushirikina tulioshauriwa....!!!!
Hata hivyo pamoja na kwamba hapa Tunamchana Jamaa ( Mleta Mada ) ila kwa ninavyowajua Watanzania tulivyo Wanafiki na huu Uzi sasa uko Ukurasa wa Tano nina uhakika 85% tunaochangia hapa Leo tumeosha Minyago ( Misura ) yetu na Kojo la Alfajiri ( Asubuhi ) ila hapa tunazuga tu huku tukisubiria Mrejesho wa Kojo kama Mambo yetu Kimaisha yatabadilika.Yani wewe ndio umedhihirisha ule usemi wa kuruka mkojo na kukanyaga mavi. Japo wewe umeufanya kinyume, umeanza na kupakwa mavi ukasafisha kwa mkoja.
Halafu maskini ya Mungu kuna viumbe wataamini, hasa wanawake na kuanza kukinga mikojo ya asubuhi. Halafu anakutana na njemba busy kupiga mabusu kumbe anabusu kojo
Sijavaa Saa leo hivyo nilimgeukia Kumuuliza muda ndiyo nikakaribishwa na hiyo harufu ya Kojo.Umeanzaje kumnusa mwanaume mwenzako usoni?