Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Nenda goggle /YouTube.
"Seach uses of early morning urine"
Muwe na asbh njema.
 
Sijavaa Saa leo hivyo nilimgeukia Kumuuliza muda ndiyo nikakaribishwa na hiyo harufu ya Kojo.
Acha urongo, simu ya saa yako bado yaonesha majira ya kwenu ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ?
 
Mnampuuza na Kumsimanga hapa ila Kisirisiri Leo Wengi Wetu si tu tumenawa bali tumeoga kabisa Kojo lenyewe ila hapa Mtandaoni tunazuga tu na Kujifanya ni Jambo baya. Watanzania ni Wanafiki sana.
Hasa wadada, ukienda bafuni lazima ukojoe ukiwa umesimama wima, kojo lote lakuchuruzika mapajani hadi unyayoni ndipo waanza jipaka sabuni
 
Yaani wee mkaka wajua sana kunipa raha, all in all nmekumiss sana, Barbara anatuyeyusha
Naona Mkojo nilionawa baada ya Ushauri wa Mleta Mada ( Uzi ) umeanza kuleta Matunda kwani Warembo kama huyu sasa wanaanza Kunikubali ( Kunipenda ) wakati hapa kabla ilikuwa ni tofauti. Asante Mkojo na Mleta Mada hii Kiranja Mkuu na Kesho ndiyo Nauoga na Kuunywa kabisaaaaa.....!!!
 
Yes I do. Huwa nasoma sana post zako na sioni sababu ya kupigwa ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“› mara kwa mara. I adore you
 
Hongera sana
 
Yes I do. Huwa nasoma sana post zako na sioni sababu ya kupigwa ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“› mara kwa mara. I adore you
Ndugu umechanganya au? Mbona hii ID yangu haipo Kifungoni na wala sina ID nyingine zaidi ya hii ya MINOCYCLINE?
 

Kwa hii sura ni kweli kabisa hakuna ubishi
 
We endelea tu kunawa mkojo wako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna wengine nao watafunga na kuambiwa wapake vinyesi vyao
 
Hongera sana
Ndugu niamini 85% yetu kuanzia Leo na Kesho tutanawa mno Mikojo yetu ila hapa tunazuga kwa Kujifanya tunakushutumu ili tusionekane siyo Wacha Mungu ila umeshatusaidia wengi na tambua Kubwa Watanzania tuna Tunu ya Unafiki.

Nikupongeze tu kwa Kutusaidia kwa huu Ushauri wako na hata Siku zingine ukiota Maono ya Kupaka Mikimba ( Mavi ) Nyusoni Kwetu Wewe njoo nao tu hapa na tutaufuata vile vile ili mradi Nyota zisomeke na Mambo yanyooke.
 
....nafikiri hili suala ni la kiimani zaidi

Yule anayeamini atapona..

Kuna mila zingine hutumia mkojo wa asubuhi kama tiba tena kwa kunywa kabisa
Usiende mbali nina Ushuhuda Binafsi nilikuwa na tatizo la Kuugua mno na Jino huku likiniuma sana na nilitumia Pesa nyingi Kujitibu na sikufanikiwa ndipo nikakutana na Mtu akanishauri niwe Nasukutua na Mkojo wangu wa Alfajiri kwani ni Tiba nzuri na kiukweli nilitumia na sasa nina Mwaka wa 4 Siumwi tena Jino na MImi pia nimeshauri Wengine nao pia wamenipa Mrejesho huo huo kuwa Umewasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ