Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Sura nyingi zitanuka mno Mikojo.Kina watu wataanza tiba kesho.
Mnampuuza na Kumsimanga hapa ila Kisirisiri Leo Wengi Wetu si tu tumenawa bali tumeoga kabisa Kojo lenyewe ila hapa Mtandaoni tunazuga tu na Kujifanya ni Jambo baya. Watanzania ni Wanafiki sana.Unatakiwa kufukuzwa JF kwa kuandika hivi
Umeshanasa tayari.Ukinawa unatoka na kojo lako ad kazin au unanawa
Acha urongo, simu ya saa yako bado yaonesha majira ya kwenu 🇷🇼?Sijavaa Saa leo hivyo nilimgeukia Kumuuliza muda ndiyo nikakaribishwa na hiyo harufu ya Kojo.
Hasa wadada, ukienda bafuni lazima ukojoe ukiwa umesimama wima, kojo lote lakuchuruzika mapajani hadi unyayoni ndipo waanza jipaka sabuniMnampuuza na Kumsimanga hapa ila Kisirisiri Leo Wengi Wetu si tu tumenawa bali tumeoga kabisa Kojo lenyewe ila hapa Mtandaoni tunazuga tu na Kujifanya ni Jambo baya. Watanzania ni Wanafiki sana.
Pemba hapa nilipo ndiyo huko Rwanda?Acha urongo, simu yako bado yaonesha majira ya kwenu 🇷🇼?
Yaani wee mkaka wajua sana kunipa raha, all in all nmekumiss sana, Barbara anatuyeyushaPemba hapa nilipo ndiyo huko Rwanda?
Naona Mkojo nilionawa baada ya Ushauri wa Mleta Mada ( Uzi ) umeanza kuleta Matunda kwani Warembo kama huyu sasa wanaanza Kunikubali ( Kunipenda ) wakati hapa kabla ilikuwa ni tofauti. Asante Mkojo na Mleta Mada hii Kiranja Mkuu na Kesho ndiyo Nauoga na Kuunywa kabisaaaaa.....!!!Yaani wee mkaka wajua sana kunipa raha, all in all nmekumiss sana, Barbara anatuyeyusha
Yes I do. Huwa nasoma sana post zako na sioni sababu ya kupigwa 🔥 📛 mara kwa mara. I adore youNaona Mkojo nilionawa baada ya Ushauri wa Mleta Mada ( Uzi ) umeanza kuleta Matunda kwani Warembo kama huyu sasa wanaanza Kunikubali ( Kunipenda ) wakati hapa kabla ilikuwa ni tofauti. Asante Mkojo na Mleta Mada hii Kiranja Mkuu na Kesho ndiyo Nauoga na Kuunywa kabisaaaaa.....!!!
Mijinga imeanza kutongozana hapa...nyege tu mbwa nyieYes I do. Huwa nasoma sana post zako na sioni sababu ya kupigwa [emoji91] [emoji435] mara kwa mara. I adore you
Hongera sanaNaona Mkojo nilionawa baada ya Ushauri wa Mleta Mada ( Uzi ) umeanza kuleta Matunda kwani Warembo kama huyu sasa wanaanza Kunikubali ( Kunipenda ) wakati hapa kabla ilikuwa ni tofauti. Asante Mkojo na Mleta Mada hii Kiranja Mkuu na Kesho ndiyo Nauoga na Kuunywa kabisaaaaa.....!!!
Nguvu ya mkojo usoni pako. Mkojo unakupa kibali, unakufanya ukubalike kupita kawaidaMijinga imeanza kutongozana hapa...nyege tu mbwa nyie
Ndugu umechanganya au? Mbona hii ID yangu haipo Kifungoni na wala sina ID nyingine zaidi ya hii ya MINOCYCLINE?Yes I do. Huwa nasoma sana post zako na sioni sababu ya kupigwa 🔥 📛 mara kwa mara. I adore you
Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.
Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.
Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.
Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.
Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
We endelea tu kunawa mkojo wako😂😂 kuna wengine nao watafunga na kuambiwa wapake vinyesi vyaoSwalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.
Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.
Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.
Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.
Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
Kinyesi kinatoka nyuma, nyuma ni upande wa kunyume, nyuma ni negative, watakuwa wanajitia mikosi na mabalaaWe endelea tu kunawa mkojo wako😂😂 kuna wengine nao watafunga na kuambiwa wapake vinyesi vyao
Ndugu niamini 85% yetu kuanzia Leo na Kesho tutanawa mno Mikojo yetu ila hapa tunazuga kwa Kujifanya tunakushutumu ili tusionekane siyo Wacha Mungu ila umeshatusaidia wengi na tambua Kubwa Watanzania tuna Tunu ya Unafiki.Hongera sana
Usiende mbali nina Ushuhuda Binafsi nilikuwa na tatizo la Kuugua mno na Jino huku likiniuma sana na nilitumia Pesa nyingi Kujitibu na sikufanikiwa ndipo nikakutana na Mtu akanishauri niwe Nasukutua na Mkojo wangu wa Alfajiri kwani ni Tiba nzuri na kiukweli nilitumia na sasa nina Mwaka wa 4 Siumwi tena Jino na MImi pia nimeshauri Wengine nao pia wamenipa Mrejesho huo huo kuwa Umewasaidia.....nafikiri hili suala ni la kiimani zaidi
Yule anayeamini atapona..
Kuna mila zingine hutumia mkojo wa asubuhi kama tiba tena kwa kunywa kabisa