Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

Itakuwa anamaanisha vyote kwa pamoja
Ila kwel mkuu usipo kuwa na pesa unakua na mapenzi ya kujishtukia , uko na bebi mama ako umetoka out unahesabia pesa mfukoni,sio poa ,ngoja tukomae kwanza tutawakuta huko mbele watutese kidgo tufe tuwaachie pesa.
 
Kama ni Mwanamke wa kuoa,anza kuchunguza background yake/Familia yake kabla ya kumchunguza mlengwa husika,kama unatafuta demu wa Hit & Run huna haja ya kuchunguza,piga mbupu sepa.
Mke no mkuu , nataka wa mbupu ila nimchunguze kwanza .
 
Sijui Vijana tunakwama wapi haya umemchunguza halafu ukamtongoza akakataa huoni hapo unakuwa umepoteza muda bila sababu za msingi
 
Sijui Vijana tunakwama wapi haya umemchunguza halafu ukamtongoza akakataa huoni hapo unakuwa umepoteza muda bila sababu za msingi
[emoji1787][emoji1787] au tule kwanza zeni tuchunguze.
 
Siku hizi hakuna kuchunguzana, ukijiingiza kwa mwanamke unaombwa hela kwanza zikutoke mpaka uchakae. Ukimudu kutoatoa hela na kumnunulia mahitaji yake ndio unapewa penzi na mnakuwa wapenzi, tabia mbaya huwa hazijifichi huko mbeleni mnazinguana na kuachana huku mmojawapo akiwa amefilisiwa vya kutosha
 
Back
Top Bottom