Ila kwel mkuu usipo kuwa na pesa unakua na mapenzi ya kujishtukia , uko na bebi mama ako umetoka out unahesabia pesa mfukoni,sio poa ,ngoja tukomae kwanza tutawakuta huko mbele watutese kidgo tufe tuwaachie pesa.Itakuwa anamaanisha vyote kwa pamoja
Mke no mkuu , nataka wa mbupu ila nimchunguze kwanza .Kama ni Mwanamke wa kuoa,anza kuchunguza background yake/Familia yake kabla ya kumchunguza mlengwa husika,kama unatafuta demu wa Hit & Run huna haja ya kuchunguza,piga mbupu sepa.
Hata ukimchunguza,huwezi kumjua,labda umfuatilie 24/7Mke no mkuu , nataka wa mbupu ila nimchunguze kwanza .
Au ndio yale ya ukimchunguza bata huto mla, na hata ukimla utaharisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ukimchunguza,huwezi kumjua,labda umfuatilie 24/7
Mpaka kufikia kutongoza tuna-assume kuwa angalau una vipesa pesa hivi...Kutongoza bila vihela hela hata ukikubaliwa ni kujitafutia presha bure tu!Mkuu kifua au pesa? Au vyote kwa pamoja [emoji848]
Mkuu kuna vile vipesa tukishinda beti je navyo vinafaa kuanzia?Mpaka kufikia kutongoza tuna-assume kuwa angalau una vipesa pesa hivi...
[emoji1787][emoji1787] au tule kwanza zeni tuchunguze.Sijui Vijana tunakwama wapi haya umemchunguza halafu ukamtongoza akakataa huoni hapo unakuwa umepoteza muda bila sababu za msingi