Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda.
Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi.
Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo kitu haipo, yaani hapo kuna mmoja ni domo zege hawezi omba chochote. Hivyo anajificha kwenye kimvuli cha urafiki kumbe domo ndio limejaaa mate.