Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

Kwanza urafiki na demu wa nini wakati wanaume wenzio wapo?
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Limbukeni peke ake ndo anacheza michezo kama ya mtoa mada..
Sio limbukeni dada ni vile mtu ana minyege yake na hana pakuitolea, ukijifanya kuwa karibu nae lazima apite na wewe, na ukikataa ndio imeisha hiyo. Mimi nilikuwa kama mtoa mada nilivyokuwa masikini wa mbunye, lkn nilivyokomaa nikajua zile zilikuwa ni nyege tu zinanisumbua,.
 
Urafiki utadumu kama MWANAMKE HAOMBI HELA. otherwise ni mkulano kwanza
Umekosea urafiki utadumu kama mwanaume hajakutaka, akikutaka na ukawa huonyeshi ushirikiano kama kuomba hela mimi Hua natoka baru speed 150, na hapo nishindwe mbinu za kukuingia
 
Kwa mwanamke yeyote humu anayedhani ana urafiki na mwanamme, katika kuujaribu tu huo urafiki wao ili aone kama ni urafiki kweli au kuna mengine, hebu siku moja ajaribu kumpa penzi huyo rafiki yake wa kiume halafu aone kama atakataa kwa kigezo cha kwamba wao ni marafiki……
Nakumbuka Siku Moja Shuleni Head master Alikuwa anatoa Speech Na Shule Nzima (Form 1-6,Na Walimu ) Wapo Kimya Tunamsikiliza ,Katikati Ya Speech Discipline Master Akaenda Kumnong'oneza Kitu Head Master,Kukiwa Kumetulia Kimyaaaa Na Wanaendelea Kunong'onezana ,Nikaropoka Nikasema HATUSIKIIIIIIII!!

Sitasahau Kilichonikuta[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom