Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

Urafiki na mwanamke labda awe hana mtu wake.... Na kama hana mtu wewe rafiki yake lazima ule kimasihara, labda awe na matatizo asiwe ana nyege kabisa 100%...

Akiwa na mtu basi kamwe huo sio urafiki labda ni mahusiano ya kikazi tu.

Toka enzi na enzi hakujawahi kuwa na urafiki wa mwanaume na mwanamke❌
 
Kuna wanawake decent ukiwa na urafiki nao pande zote zinanufaika. Ila kuna mikurumbembe ukiwa rafiki unaumia wewe kila siku utoe msaada mara ukopeshe mara uombwe pesa mara akifiwa au ndugu yake anaoa utoe mchango. Ukiangalia wewe hujawahi pokea kutoka kwake, unatoa tu. Hao ni kupe hata ukiwaomba huna cha kupoteza wakikataa.

Kuna wanawake ukiwapoteza kuna channel umeipunguza, anaweza kuwa sio yeye direct ila mtu wake wa karibu ambaye huna access naye bila huyo mwanamke. Be strategic sio kila mara unadindisha tu
Wewe bwana kuna mwanamke gani ana commection ya maana bwana. Its a mans world wee deal na wanaume wenzio kama marafiki hawa wanawake wee omba mzigo basi. Akikuoa kula akikunyima sepa zako.
 
Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda.

Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi.

Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo kitu haipo, yaani hapo kuna mmoja ni domo zege hawezi omba chochote. Hivyo anajificha kwenye kimvuli cha urafiki kumbe domo ndio limejaaa mate.

View attachment 2858368
Hhuyu ni mimi
 
Nyie waangalia porn hamuwez kuvumilia urafiki WA kike na kiume ...ila inawezekana Sana tu ....acha kuangalia hioz video zinawapoteza
 
Urafiki utadumu kama MWANAMKE HAOMBI HELA. otherwise ni mkulano kwanza
 
Ukimaliza shule utakua umekua kua.

Huo ni utoto unakusumbua.
Miaka kadhaa nyuma nilikua na mawazo kama hayo ila nikaja kujua ulikua utoto tu.
Sawa mkuu unaweza kumruhusu mke wako awe na urafiki na njemba yeyote hapo kitaaa?
 
Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda.

Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi.

Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo kitu haipo, yaani hapo kuna mmoja ni domo zege hawezi omba chochote. Hivyo anajificha kwenye kimvuli cha urafiki kumbe domo ndio limejaaa mate.

View attachment 2858368
Hata kama hana mvuto au sio mzuri yaani hamna unachokitamani kwake.
 
Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda.

Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi.

Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo kitu haipo, yaani hapo kuna mmoja ni domo zege hawezi omba chochote. Hivyo anajificha kwenye kimvuli cha urafiki kumbe domo ndio limejaaa mate.

View attachment 2858368
Huu ndo uanaume sasa kwanini ucheke na manzi
 
Kwa mwanamke yeyote humu anayedhani ana urafiki na mwanamme, katika kuujaribu tu huo urafiki wao ili aone kama ni urafiki kweli au kuna mengine, hebu siku moja ajaribu kumpa penzi huyo rafiki yake wa kiume halafu aone kama atakataa kwa kigezo cha kwamba wao ni marafiki……
 
Back
Top Bottom