Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
MmmmhKuna mmoja ninae tokea 2019
inawezekana
🤣🤣🤣 mateso ya nini? Mimi nanyoosha maelezo mama naomba.Pia mimi, mkuu yaani ndo awe analo wowowo alafu mweupe, singoji hata huo urafiki 🙏
Mi naomba moja kwa moja 😂
Kwani unavutiwa na kila mwanamke?Mmmmh
Hahaha kweli mwanawane mwanamke hapana kuwa rafiki naye kwanza urafiki wao wee unabenefit nini maana hela hawakupi sasa y uwe na urafiki na mwanamke? Wee omba mbususu tuu hataki achana naeEti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda.
Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi.
Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo kitu haipo, yaani hapo kuna mmoja ni domo zege hawezi omba chochote. Hivyo anajificha kwenye kimvuli cha urafiki kumbe domo ndio limejaaa mate.
View attachment 2858368
Sasa bi faiza mimi nawekaje urafiki na wewe? Si unafiki huo? Lengo langu ni paleHaya usubirie ukimwi.
🤣🤣🤣🤣 Kweli kabisa wee omba mapema bila kupoteza muda.Pia mimi, mkuu yaani ndo awe analo wowowo alafu mweupe, singoji hata huo urafiki 🙏
Mi naomba moja kwa moja 😂
Inawezekana
Me ninao.marafiki Zangu wa kike
Tunasaidiana mengi
Na siwezi kuwatongoza wala kuwataka
Nishawaweka kwenye urafiki tu masuhiano mengine hapana
Sent using Jamii Forums mobile ap
Hapana, hapa nazungumzia close friend yaani mnaweza kutoka wote mnatembea pamoja lakini eti ni marafiki, subutu.Kwani unavutiwa na kila mwanamke?