Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

Urafiki na mwanamke labda awe hana mtu wake.... Na kama hana mtu wewe rafiki yake lazima ule kimasihara, labda awe na matatizo asiwe ana nyege kabisa 100%...

Akiwa na mtu basi kamwe huo sio urafiki labda ni mahusiano ya kikazi tu.

Toka enzi na enzi hakujawahi kuwa na urafiki wa mwanaume na mwanamke❌
 
Wewe bwana kuna mwanamke gani ana commection ya maana bwana. Its a mans world wee deal na wanaume wenzio kama marafiki hawa wanawake wee omba mzigo basi. Akikuoa kula akikunyima sepa zako.
 
Hhuyu ni mimi
 
Pia mimi, mkuu yaani ndo awe analo wowowo alafu mweupe, singoji hata huo urafiki 🙏
Mi naomba moja kwa moja 😂
🤣
Hauna muda wa kupoteza. Mapeema tu unaomba wowowo, akikataa unapita hivi 👉🏿👉🏿
 
Nyie waangalia porn hamuwez kuvumilia urafiki WA kike na kiume ...ila inawezekana Sana tu ....acha kuangalia hioz video zinawapoteza
 
Na hakatai maana naweza ng'ang'ania mpk akachoka mwenyewe kurusha mateke😂😂

tako jeupe kubwa kiasi ni sikio la kufa🙏
🤣
Pia hiyo mbinu ni nzuri kukwepea mizinga, akiomba hela we unaomba tako jeupe kubwa 🤣🤣
 
Urafiki utadumu kama MWANAMKE HAOMBI HELA. otherwise ni mkulano kwanza
 
Ukimaliza shule utakua umekua kua.

Huo ni utoto unakusumbua.
Miaka kadhaa nyuma nilikua na mawazo kama hayo ila nikaja kujua ulikua utoto tu.
Sawa mkuu unaweza kumruhusu mke wako awe na urafiki na njemba yeyote hapo kitaaa?
 
Hata kama hana mvuto au sio mzuri yaani hamna unachokitamani kwake.
 
Huu ndo uanaume sasa kwanini ucheke na manzi
 
Kwa mwanamke yeyote humu anayedhani ana urafiki na mwanamme, katika kuujaribu tu huo urafiki wao ili aone kama ni urafiki kweli au kuna mengine, hebu siku moja ajaribu kumpa penzi huyo rafiki yake wa kiume halafu aone kama atakataa kwa kigezo cha kwamba wao ni marafiki……
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…