masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini.
Mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao, mauaji ambayo si suala la kulifumbia macho.
Kwa kawaida
Kama tumeanza kuingia katika mauaji ya kisiasa hata mimi mwa CCM siliungi mkono hilo.
Na kwa vyovyote mauaji haya hayaashirii upepo mzuri kwa uchaguzi mwakani na hali ya utulivu kuweza kuharibika.
Kuna wanaotaka kuleta mchafuko wa kisiasa maana siamini kwamba operations kama hizi mama Samia anaweza kuziagiza zitekelezwe.