Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanachama wa CCM mwenye hofu ya Mungu anaweza kuungo.mkono ubaradhuli kama huu wa mauaji ya kikatili..Wambieni wanachama wenzako mkitumaliza ndio hamtakufa?
Wasakwe, na itashangaza dunia kama hawatapatikana.Hivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini.
Mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao, mauaji ambayo yanaashiria kufanyika na state agents si suala la kulifumbia macho.
Kwa kawaida state agents wanaagizwa operation za kutekeleza.
Kama tumeanza kuingia katika mauaji ya kisiasa hata mimi mwa CCM siliungi mkono hilo.
Na kwa vyovyote mauaji haya hayaashirii upepo mzuri kwa uchaguzi mwakani na hali ya utulivu kuweza kuharibika.
Kuna wanaotaka kuleta mchafuko wa kisiasa maana siamini kwamba operations kama hizi mama Samia anaweza kuziagiza zitekelezwe.
UPDATE
Tayari nchi imechafuliwa kimataifa.View attachment 3090846View attachment 3090848View attachment 3090848
Kama hajaagiza ameshindwaje akiwa kama Rais wa nchi kuhakikisha wanaofanya haya matukio wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.Hivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini.
Mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao, mauaji ambayo si suala la kulifumbia macho.
Kwa kawaida
Kama tumeanza kuingia katika mauaji ya kisiasa hata mimi mwa CCM siliungi mkono hilo.
Na kwa vyovyote mauaji haya hayaashirii upepo mzuri kwa uchaguzi mwakani na hali ya utulivu kuweza kuharibika.
Kuna wanaotaka kuleta mchafuko wa kisiasa maana siamini kwamba operations kama hizi mama Samia anaweza kuziagiza zitekelezwe.
Mbona kada ni kama vile una taarifa za kiintllinjinsia kuwa CCM wanahusika? Unaweza kuusadia uchunguzi wewHivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini.