Mimi kada wa CCM lakini mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao limetukera

Wambieni wanachama wenzako mkitumaliza ndio hamtakufa?
Hakuna mwanachama wa CCM mwenye hofu ya Mungu anaweza kuungo.mkono ubaradhuli kama huu wa mauaji ya kikatili..
Haki ya kuishi ni takwa la kibinadamu, kidini na hata kikatiba.
 
Wasakwe, na itashangaza dunia kama hawatapatikana.
 
Kama hajaagiza ameshindwaje akiwa kama Rais wa nchi kuhakikisha wanaofanya haya matukio wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.

Haya matukio yalianza tokea akiwa Makamu wa Rais, na sasa ni Rais.

Kama yeye hausiki alete timu huru ya uchunguzi iliyobobea kwenye masuala ya kiuchunguzi kutoka nje ya Tanzania waje wafanye uchunguzi wa haya matukio la sivyo wengi wataendelea kuamini haya matukio yanafanywa na Serikali yake na chama chake..

FaizaFoxy
 
Mbona kada ni kama vile una taarifa za kiintllinjinsia kuwa CCM wanahusika? Unaweza kuusadia uchunguzi wew
 
Tumeumia mno wana Tanga na watanganyika kwa ujumla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…