Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
 
Hakuna serikali yoyote itakurahisishia maisha ni kupambana na Maisha yako

Za kimkakakati wekeza kimkakakati

Mwanasiasa yeyote hayupo kukukomboa wewe
 
Sikubaliani na hoja,
Kuna nchi nyingi tu duniani zwnye serekali yenye mifumo bora kwa ajili ya mwananchi.

Ni vile tu watz tuko brainwashed na mifumo ya nchi hii
 
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
Wapo watu wenye akili wataikomboa nchi. Ila watakuwa wachache sana na sio wengi.
 
Hao Watanganyika unaowashauri ni wa kuanzia mwaka gani hadi mwaka upi?Maisha bado yanaendelea halafu kwa urahisi tu unawaambia iwe imetosha?Nakushauri:Usiweke nukta mwisho wa sledi yako.Kizazi kipo,vizazi vinakuja na kuendelea!
 
Wapi watu wenye akili wataikomboa nchi. Ila watakuwa wachache sana na sio wengi.
For sure hawa waliopo now ni kama wana trigger machafuko tu,
Strategy mbaya, hawaparticipate directly, na hawajui kuwa the fight isn't that simple
 
Mimi kwakweli sitaki kukombolewa na majitu majinga majinga kama Chadema.

Yatatuingiza shimoni hayo majamaa.
 
Huenda wanania njema ila kwa wanacho Fanya wanakosea sana. Hii nchi kuna watu walipoteza uhai na hawakuwa a hata wala hawakuwa na nia ya kuandamana Mo29
 
Hao Watanganyika unaowashauri ni wa kuanzia mwaka gani hadi mwaka upi?Maisha bado yanaendelea halafu kwa urahisi tu unawaambia iwe imetosha?Nakushauri:Usiweke nukta mwisho wa sledi yako.Kizazi kipo,vizazi vinakuja na kuendelea!
Nimetoa ushauri kwa yanayo endelea sasa
 
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
Wewe binafsi kwanini haujatoka ili kuandamana?
 
Back
Top Bottom