Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Wewe ndo umesema
Nimesema kwa kinacho endelea sasa ushauri wangu ndo huo
 
Hapana sio uvivu bali ni kuyaona mambo kama yalivyo
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Wewe ndo umesema
Nimesema kwa kinacho endelea sasa ushauri wangu ndo huo
Ok ukitoa mambo ya siasa hata vituvingine. Katika jambo ambalo upeo wako umefikia mwisho si vema kudhani na mtu mwingine hataweza. Watu tunatofautiana sana sana namna tunavyo yatazama mambo na kuyashughulikia. Mtu mmoja tu anatosha kukomboa muda mwingine. Thanks.
 
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
Nchi haikombolewi na upinzani, Nchi inakombolewa na wananchi.
 
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Ok ukitoa mambo ya siasa hata vituvingine. Katika jambo ambalo upeo wako umefikia mwisho si vema kudhani na mtu mwingine hataweza. Watu tunatofautiana sana sana namna tunavyo yatazama mambo na kuyashughulikia. Mtu mmoja tu anatosha kukomboa muda mwingine. Thanks.
Sijasema kwamba imeshindikana nimesema kwa strategy inayotumiwa inabidi tukubali haiwezekani
 
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
Mod Hamna emoji ya dole flani
 
Unayoyapitia ni asilimia ngapi ya Yale wanayoyapitia Palestine tangu 1948?
Acha uoga,time itakuja, haya ma ccm, yatakimbia nchi yataishi kama nguchiro!
Utawala wa kihutu wa, habyalimana, hawa kuamini kwamba vijana waliokulia makambi ya wakimbizi wanaweza kuwachomoa madarakani, ilitokea! Kwa, Idi amin hivyo hivyo, apartheid SA, ili kuwa hivyo, Mandela walimfunga kwa, miaka 27! ANC ikapigwa marufuku, walioandamana walikutana na risasi, kumbuka sharpaville massacre! Mwishowe walitoka!
Time will come,
I know, but kama taifa tunajiangamiza sisi wenyewe. Kwa sasa, kwanini tusiendelee kuongea but without maandamano ambayo kila kukicha yamekuwa na negative impact

Kwa nini kama taifa tusipaze sauti kwa namna itakayo kuwa safe kwa kila mmoja wetu? Hapa huoni ya kuwa tutakaa kunufaisha machawa. It's all about creating awareness and that can happen without shedding blood
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kilichotokea leo ni mgomo. Mgomo dhidi ya 77 na unaweza kutumika kama kiboko kwa serikali dharimu. Endelea kujifunza jinsi muda uendavyo utaelewa..... Mapambano bado yanaeñdelea..,
Vita vilianza toka enzi za mkapa hadi leo huoni ya kuwa sisi wenyewe ni kama hatuna utambuzi tunamtaka nani? Huoni ya kuwa kama taifa kuna mpasuko ndani yetu
 
Sisiem, ndio wanataka muwe na akili za hivi ,hapo yalipo yanasoma uzi wako huku yakichekea chooni
Ofcourse wao ndo wanachekelea ila na sisi tutakuwa wajinga kukubali kuwa manipulated kuendelea kujibu mashambulizi yatakayo tuletea maafa sisi pasipo kitu kubadilika
 
Kafara ni imani za kishirikina?

Mimi nimemaliza unataka ndio hivyo hivyo ,hautaki ndio hivyo hivyo.
You need to see past the smoke kamanda

The mass shooting and killing is not worth it
 
Back
Top Bottom